bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 676
Pole sana Maxence Melo, Mungu awe pamoja nawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo taarifa baada kugundulika ni feki si zilifutwa? Tatizo liko wapi?Kuna uzi humu ulisema wazi na ushahidi kuwa Makamu wa rais amejiuzulu.
Kuna uzi humu ulipost barua ya ikulu ikionyesha nembo ya ikulu na sahihi ya msemaji wa ikulu ikielezea kutenguliwa kwa mrisho gambo. Huo sio uchochezi ? Au uchochezi kwako ni mpaka watu washike bunduki
ha ha ha ha mkuu umenichekesha sanaHali ikiendelea hivi huko mbeleni tutakua tunaongea kwa ishara kama mabubu
View attachment 445691
Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.
Maxence Melo anakamatwa huku kukiwa na Kesi ya Kikatiba dhidi ya taarifa ambazo Jeshi la Polisi wanazitaka, kesi namba 9 ya mwaka 2016 dhidi ya Jamii Media dhidi ya polisi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kesi ambayo mahakama kuu itatolea hukumu, tarehe 20 Februari.
sasa watajuaje wakati jina sio langu,na detail zote nimeweka za urongo?kuanzia email hadi tarehe ya kuzaliwa?Hawahitaji thread zako, wanataka kujua huyu akili tatu ninani,baaasi.
TunaanzajeHapana tubadili gia
Andiko lako la vitisho lina maana gani ? Kwa muda mrefu umetumia jf kutukana chadema bila kuguswa , leo viongozi wako wakikosolewa unaomba msaada wa polisi ili iweje ? Hivi wewe ni wa kuitisha jf kweli ?
Mwigulu Nchemba ambaye ni waziri wa hawa polisi ni member humu , na ameitumia sana jf kutoa dukuduku lake , leo hii mnasahau nini ?
mtandao ukawa deactivated kwa muda wa wiki moja then uka flush data zote za members na kuanza upya kuandikisha watumiaji..
Nina wasiwasi na Savers za JF wanaweza Ku destroy naomba IT wetu wazilinde! Nchi ya Kipumbavu sana wakati FBI wangezama tuu bila hata huyo Melo kujua.
Mimi Apart from ID
Jina language Fake
Email Fake
ID Fake
Birthday Fake
Maxence Melo anakamatwa huku kukiwa na Kesi ya Kikatiba dhidi ya taarifa ambazo Jeshi la Polisi wanazitaka, kesi namba 9 ya mwaka 2016 dhidi ya Jamii Media dhidi ya polisi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kesi ambayo mahakama kuu itatolea hukumu, tarehe 20 Februari.[/QUOTE]
Huku itakuwa kuufinyanga kihadhi mfumo wa Mahakama.
FafanuaWatakuwa wanataka IP. Address za watu lakini wanasahau kuna kitu kinaitwa VPN na wengine wanatumia shared WiFi
Unless kuna jambo lingine