joewilly12
New Member
- Dec 12, 2016
- 1
- 0
H social ina civil kubwa kwa wananchi lazima awe kalibu naye h nchi Yetu ndivyo ilivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sie tunajielewa sasaMbona serikali ya marekani haikuwaweka ndani wamiliki wa apple baada ya kukataa kutoa taarifa za wateja wao? Refer case ya Julius assange wa wikileaks!
Umenena vema mkuuWaende Mahakamani kuzidai- na huko ndiko haki hupatikana !. Kama kweli kinachotafutwa kiko kinyume na Sheria si Mahakama itatoa warranti kwa mhusika kutoa ushirikianano kwa Polisi?
Si rahisi kama unavyofikiri.Lakini melo hii ishu sijajua kwanini umeamua ikupotezee muda!!!!!
Hata mitandao ya simu huwa wanaachia taarifa binafsi kwa uchunguzi, ni swala kuachia tu.
Ni kweli kabisa, mimi niliacha muda kidogo baada ya kuwa napigwa ban kwa kusema ukweli. Nikaona bora niende kwenye majukwaa yasiyo ya kujenga Viwanda.Mimi mwenyewe nilizisoma alama za nyakati nina wiki sijagusa siasa kabisa.
Thanks to my bae kwa kunikeep busy,saa hizi ningekuwa ktk hofu kubwa sana.
Siasa kwa sasa tuziache,hali ni mbaya.
Wakati wizara anayoiongoza ndio imemtia ndani Max? Unajielewa lakini?Mhe Mwigulu ni member mwenzetu atusaidie kumwekea dhamana/kumtoa.
Mkuu hii nchi unasema si salama kwa sababu ya haya mambo yanayotokea humu Jf au kwenye mitandao?Tunatafutwa tukamatwe .jamaa amekataa kutoa taarifa zetu.
Hii nchi si salama tena.
Hivi nia mbaya ni nini?Vigezo na masharti inabidi kuzingatiwa ili twende na sheria mpya ya magazeti na ile ya mitandao
kusema ukweli humu JF mazombi tupo wengi mno inabidi uongozi ili ujichomoe na kadhia hii ni muhimu wote kuwa verify our names na adress kwa ujumla wake
kama kweli hatuna nia mbaya,
Wakati wizara anayoiongoza ndio imemtia ndani Max? Unajielewa lakini?
Mkipigwa ban pia huwa mnalalamika.hata ww ni mmojawapo ya wavuka mipaka ila uko upande wa wanaochukia kukosolewa. kama mtu anavuka mipaka kuna sheria za jf huwa anapata ban, kinyume na hapo ni kwamba ukweli unauma.
Nilitaka nkujibu jibu moja takatifu lakin nimeamua nkuache tuMagufuli Hoyee...CCM Hoyee! ndo kuisoma namba kwenyewe huko. Hadi wote tubaki tukiimba utukufu kwa JPM!
Unaelewa kinachoendelea lakini wewe?Mkuu hii nchi unasema si salama kwa sababu ya haya mambo yanayotokea humu Jf au kwenye mitandao?
Were hujitambui kwasasa unakurupukaUnaposema Magufuli hawezi kuwa Rais unamaanisha nini? Au ndicho kilichoujaza moyo wako kwamba Magufuli hawezi kuwa Rais?