Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahi mapema mkuu wala ujakatazwa utuachie nchi yetu pendwaMkuu hilo neno vinginevyo humu ndani tutaumia. Nikiona mwelekeo mbaya nakimbia Nchi
Kwa mujibu wa maelezo"kosa ni kuwanyima polisi taarifa binafsi za wateja"
Uhuru na mipaka yake
Sheria ya mitandao imepitishwa bungeni
Magufuli hategemewi kuwa Rais
Nimekuelewa ntaacha kuwaza ujinga ili nimsifu malaika kama unavyomsifu wewe. Unakuwa kama mtu mwenye akili ya kushikiwa, acha kufikiri kwa kutumia masaburiAcha kuwaza kijinga
Jamani elezeni kwa undani tatizo, huyo ni boss wetu hapa JF.Mungu ampiganie.
Timu ya Mods itaendelea kuwajulisha kinachoendelea
Ndio maana nikakwambia makaburi uko Siku yatafukuliwa na kuhukumiwa na wale wote waliodhurumiwa kama si wao basi vijukuu wao watafidiwa. Tusipende kuwa wabinafsi kiasi hicho yaani Mimi na familia yangu.Lkn hiyo itamsaidia nini/ vp CEO wa JF aliyeko ndani sasa hivi? Utaenda kumwangalia leo au hata kuipa familia yake pole?
Ndio maana nikakwambia makaburi uko Siku yatafukuliwa na kuhukumiwa na wale wote waliodhurumiwa kama si wao basi vijukuu wao watafidiwa. Tusipende kuwa wabinafsi kiasi hicho yaani Mimi na familia yangu.Lkn hiyo itamsaidia nini/ vp CEO wa JF aliyeko ndani sasa hivi? Utaenda kumwangalia leo au hata kuipa familia yake pole?
Waende Mahakamani kuzidai- na huko ndiko haki hupatikana !. Kama kweli kinachotafutwa kiko kinyume na Sheria si Mahakama itatoa warranti kwa mhusika kutoa ushirikianano kwa Polisi?
Mbona serikali ya marekani haikuwaweka ndani wamiliki wa apple baada ya kukataa kutoa taarifa za wateja wao? Refer case ya Julius assange wa wikileaks!Acha kuwaza kitoto. Vyombo vya usalama vinapohitaji taarifa ya kiusalama toka ktk chanzo husika, basi chanzo hicho kinatakiwa kutoa ushirikiano kwa kila namna. Hilo ni suala la kisheria. Waulizeni hata walipo kwenye mitandao ya simu, Polisi wanapohitaji taarifa za mtu wanayemchunguza makampuni hutoa ushirikiano. Ni suala la kawaida. Acheni kuwaza kimihemko
You can imagine sasaI cant imagine a world without JamiiForums .....
Mbingu na ardhiMbona serikali ya marekani haikuwaweka ndani wamiliki wa apple baada ya kukataa kutoa taarifa za wateja wao? Refer case ya Julius assange wa wikileaks!
Mwishowe watakamata hadi waliotoa like kwenye mjadalaDuhhh kweli uhuru wa habari ni Zero kabisa Tanzania .
Badala ya kuchunguza miili saba ya watu walio uawa na kutafuta wauwaji. Mko busy kukamata watu wasio na kosa.
Mapolice wa Tanzania kweli mmekosa kazi.
Shame on you .