Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Uwingi wa hizo 'LIKES' unaashiria nini?
 
Uhuru na mipaka yake

Sheria ya mitandao imepitishwa bungeni
Magufuli hategemewi kuwa Rais

Hii sheria ilipitishwa na wabunge wote wa ccm yeye akiwa mbunge na waziri tena sio yeye tu hata Lowassa. Leo Lowassa kawa mpinzani ndio anaona joto ya jiwe ya zile sheria alizokuwa anazipitisha wenyewe walikuwa wanasema kupitisha kwa shindo. Sumaye naye ndio hana hamu jinsi anavyotendwa. Ngoja ccm watoke madarakani uone wa kwanza kulia kuhusu hizi sheria ni akina nani?
 
Acha kuwaza kijinga
Nimekuelewa ntaacha kuwaza ujinga ili nimsifu malaika kama unavyomsifu wewe. Unakuwa kama mtu mwenye akili ya kushikiwa, acha kufikiri kwa kutumia masaburi
 
Lkn hiyo itamsaidia nini/ vp CEO wa JF aliyeko ndani sasa hivi? Utaenda kumwangalia leo au hata kuipa familia yake pole?
Ndio maana nikakwambia makaburi uko Siku yatafukuliwa na kuhukumiwa na wale wote waliodhurumiwa kama si wao basi vijukuu wao watafidiwa. Tusipende kuwa wabinafsi kiasi hicho yaani Mimi na familia yangu.
Tabia hiyo ndiyo iliyotufikisha hapa ya watu kujilimbikizia kwaneno hilohilo la MIMI NA FAMILIA YANGU KWANZA
 
Sheria iko wazi ....Jamii Forum wako obliged ku toa hizo taarifa...Cybercrime Act 2015

Isipokuwa JF wamegoma kutoa kwa sababu kuna kesi mahakamani on the subject matter
 
Lkn hiyo itamsaidia nini/ vp CEO wa JF aliyeko ndani sasa hivi? Utaenda kumwangalia leo au hata kuipa familia yake pole?
Ndio maana nikakwambia makaburi uko Siku yatafukuliwa na kuhukumiwa na wale wote waliodhurumiwa kama si wao basi vijukuu wao watafidiwa. Tusipende kuwa wabinafsi kiasi hicho yaani Mimi na familia yangu.
Tabia hiyo ndiyo iliyotufikisha hapa ya watu kujilimbikizia kwaneno hilohilo la MIMI NA FAMILIA YANGU KWANZA
 
Waende Mahakamani kuzidai- na huko ndiko haki hupatikana !. Kama kweli kinachotafutwa kiko kinyume na Sheria si Mahakama itatoa warranti kwa mhusika kutoa ushirikianano kwa Polisi?

Mkuu kwa hapa tulipofikia hakuna mahakama ya kuiamini kwenye jambo kama hili. Hapa ni amri toka juu tu. Hizo mahakama ziko huru kwenye kesi za kubaka na kudokoa basi.
 
Acha kuwaza kitoto. Vyombo vya usalama vinapohitaji taarifa ya kiusalama toka ktk chanzo husika, basi chanzo hicho kinatakiwa kutoa ushirikiano kwa kila namna. Hilo ni suala la kisheria. Waulizeni hata walipo kwenye mitandao ya simu, Polisi wanapohitaji taarifa za mtu wanayemchunguza makampuni hutoa ushirikiano. Ni suala la kawaida. Acheni kuwaza kimihemko
Mbona serikali ya marekani haikuwaweka ndani wamiliki wa apple baada ya kukataa kutoa taarifa za wateja wao? Refer case ya Julius assange wa wikileaks!
 
Katika post :" Freeman Mbowe na wenzake wajitetee kuhusu hizi hoja.."
Namyugu ameandika:
"Ben alitaka kutusaliti:tumempoteza kimya kimya"
Huu ni ukurasa wa kwanza wa jle post. Ile post inapoanza tu.
Sasa huyu anaonekana kama anatania tu. Lakini polisi anaposoma hii,inaweza kutokea confusion.
 
Back
Top Bottom