Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Kweli hii isues kubwa comment zinfika sabini duu
 
You cant pick and choose.

Sembe, bila ya maji na Moto; hakuna ugali.

The motto of the forum ni kwamba ukitaka kutumia jina lako sawa na usipotaka uhuru wako utalindwa.

Hapo kwenye kulindwa ndio wengi wanategemea kama kigezo cha kuchangia na sio wote wanatukana. Ukianza na wenye matusi kesho utaamia kwa wanaokosoa sana na atimae complete censorship kisa unaweza pata majina ya watu.

Free Max
 
Mkuu, nitarajie cheo gani mie?
Wewe lizabon una mauzi sana.
Unamaneno ya kejeli kama yule mwenzio aliekua anasema ,mtu yeyote anaweza kuja kufanya mkutano hapa,wakati anajua kabisa hakuna atakaethubutu.
 


Ingekuwa rahisi kihivyo hii Dunia isingekuwa jinsi ilivyo, watu walimuua Yesu miaka 2000 iliyopita mpaka leo hii bado tunasubiri hukumu yao ...
 
watu wanaongea ukweli uliopitiliza na jamaa hawako tayari kuvumilia. Wanaotafutwa ni wale wanaokosoa tu.Kama.unasifia usishangae kupata cheo
Kosoa usitukane..

Kumtukana huyu wa sasa ni kujitafutia matatizo tu. Kuna watu walikuwa wanashinda humu wakisema anampiga mkewe mpaka anazimia na kulazwa. Sasa ni vizuri wakienda kuthibitisha hizo habari mahakamani..

There is these dudes chige barafu The Boss ni wakosoaji pale serikali inapokosea lakini daima sikuwahi kuona matusi kutoka kwao. Kuna wengine baada ya kushambulia hoja wanashambulia personalities.. Sasa hao ndio wanatakiwa
 
naamini haya mambo yataisha Melo na jf itaendelea kuwa salama
wenye nia mbaya na jf washindwe
 

Hili si jambo jema kwa polisi kuamua kumuita Maxence Melo kituoni na kisha kumweka ndani Max.

Ni dhahiri hili jambo likatafutiwa uvumbuzi haraka iwezekanavyo, maana kuendelea kuwekwa ndani kwa Max ni mwanzo wa kudorora kwa shughuli za uendeshaji wa JF.

Cha msingi ni kwa Max kukumbuka misingi ya JF, haki na kanuni za matumizi ya JF ambavyo vyote kwa muda sasa vimekiukwa na baadhi ya wanachama ambao wengine wameenda mbali sana katika kutoa maoni yao kupitia JF dhidi ya serikali ya raisi Magufuli.

Kuna baadhi ya wanachama wamekuwa wakitoa lugha ya matusi na kebehi na uzushi kiasi cha kuwasha kelele za kengele za tahadhari.

Tunataka JF iendelee kuheshimiwa na wanachama wote bila kuathiri uhuru wetu tulo nao wa kutoa maoni yetu bila kusahahu matumizi ya lugha sahihi na ya staha.
 
Mimi natamani wangefunga instagram na facebook watuachie JF...

The only media platform that people dare to talk the truth...
 
Reactions: Lee
Kuna watu walikuwa wanajificha nyuma ya ID feki kumtukana JPM walimwita Juma Pumba.. Mara anampiga mkewe mpaka anazimia.. Sasa wajiandae kujibu mashtaka
jeuri yao si wamkamate Mange! au waishitaki instagram
 
Hapa kuna MTU anataka tumuabudu sanamu ya nebukadreza hiyoooo asiye isujudia anatupwa kwenye tanuru au tundu la simba
Huyu Mungu wetu atuokoe au asituokoe hatukotayari kuisujudia hili li sanamu ya NEBUKADRESA
 
Hapa yule angel nahs anaanza kazi....
Nani tumuombee members wenzangu kati ya maxene mello au yule jamaa?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…