Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You cant pick and choose.Uhuru mbona upo sana. watu tunaruhusiwa kujadili kadri tunavyotaka. kuna watu wanautumia vibaya uhuru huu. kutoa matusi kwa viongozi na hata sisi kwa sisi humu tunatukanana.
Mello, usiwafiche wanaotukana bhana, wapeleke washikishwe adabu, ili jukwaa hili liwe mahali salama pa kujadili mambo ya msingi.
Wewe lizabon una mauzi sana.Mkuu, nitarajie cheo gani mie?
Ndio maana nikakwambia makaburi uko Siku yatafukuliwa na kuhukumiwa na wale wote waliodhurumiwa kama si wao basi vijukuu wao watafidiwa. Tusipende kuwa wabinafsi kiasi hicho yaani Mimi na familia yangu.
Tabia hiyo ndiyo iliyotufikisha hapa ya watu kujilimbikizia kwaneno hilohilo la MIMI NA FAMILIA YANGU KWANZA
Mkuu huku kuamini ndipo kulifanya watu waamini ni sahihi kuwa Lowassa ni fisadi,lakini tizama Leo!Hivi kuvuka mipaka ni kuelezea unachoamini ni sahihi? Uhuru wa kutoa maoni/ mawazo uko wapi?
Uko sahihiMaisha na changamoto.
Kosoa usitukane..watu wanaongea ukweli uliopitiliza na jamaa hawako tayari kuvumilia. Wanaotafutwa ni wale wanaokosoa tu.Kama.unasifia usishangae kupata cheo
ulipotelea wapi jirani?Mmmh huku sasa ni kufungana midomo kilazima
View attachment 445705
Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Maxence Melo anakamatwa huku kukiwa na Kesi ya Kikatiba dhidi ya taarifa ambazo Jeshi la Polisi wanazitaka, kesi namba 9 ya mwaka 2016 dhidi ya Jamii Media dhidi ya polisi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kesi ambayo mahakama kuu itatolea hukumu, tarehe 20 Februari.
jeuri yao si wamkamate Mange! au waishitaki instagramKuna watu walikuwa wanajificha nyuma ya ID feki kumtukana JPM walimwita Juma Pumba.. Mara anampiga mkewe mpaka anazimia.. Sasa wajiandae kujibu mashtaka
Huyu Mungu wetu atuokoe au asituokoe hatukotayari kuisujudia hili li sanamu ya NEBUKADRESAHapa kuna MTU anataka tumuabudu sanamu ya nebukadreza hiyoooo asiye isujudia anatupwa kwenye tanuru au tundu la simba