Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Waanzishe tu magereza ya watu wa JF maana humu watazolewa wengi
 
wadau hakuna updates zozote kuhusu melo mpaka mda huu?.
 
Jf ni serikali nyingine kabisa sasa naona watataka tusajiliwe upya humu wameanza na yeye watakuja kwetu.
 
Baba toa hayo majina yanayotoa lugha ya kuuzi. Mbona sisi tupo, na tunachati kwa kawaida tu. Kuna watu hasira za Maisha wanazileta huku ili kuwatukana watu. Mwenye matusi avune matusi yake na wastarabu tuendelee.
 
Kwani sasa hivi ufisadi umeisha alipowaambia hawezi kufukua makaburi mlielewaje?
 
We don't have to copy anything from be it UK or US. Tanzanians we are free thinkers, independent and sovereign state. Rule of the law should always be respected.
 
Uhuru wa kuwasiliana umekanyagwa sana tz na katiba kwa ujumla haifuatwi hata ibara moja !! Nchi inaenda kwa matakwa ya mtu tu na anachofikiri ni sahihi kwake hata kama anavunja katiba! ...Tunaanza kusahau utawala wa sheria taratibu kila kukicha....
 
JF wakiifunga tutafungua forum nyingine na kutumia anonymous nicknames. Uhuru utaendelea kuwepo wapende wasipende.

Kwa ushauri tu, kama wewe ni member wa JF sasa hivi, cha kwanza cha kufanya nenda badilisha email yako, ili just in case ikitokea data wamelazimisha hadi wamezipata wataanza na email maana nina uhakika tracing IP Address at this point haitowafikisha popote. The only way watakukaba ni kama umeweka email address yako ya ukweli.
 
Wanasema hataki ku-retrive mtandao kuweka peupe baadhi ya Ids za wahusika wanazotaka polisi, yeye hataki.

Atoe ili watunyamazishe wanapo kosea tusiseme au kukosowa., kama ndiyo nia yao tukiwapa madaraka watugeuke hakuna haja ya kuwa tunapiga kura kwa kweli. Hawajui tulipanga foleni kupigwa na juwa la kutwa leo hii Wakifanya tofauti tusihoji. [emoji1241] inaenda wapi kufatia uhuru wa kuhoji na uhuru wa Mijadala tofauti katika jamii •Hatari Sana[emoji35]
 
Mmmmmmmmh bora kujikalia kimya tu kwenye nchi za watu
 
Upo sahihi mkuu,
Hakuna ulazima wa ku disclose source of information.

Unless kama ulivyosema ila tatizo kubwa hapa polisi watahitaji sana mambo ya kisiasa kuliko sheria inavyotaka.

Tunahitaji kesho afikishwe mahakamani tufahamu wanatumia sheria ipi kulazimisha mmliki wa chombo cha habari kutoa source.
 
Amekamatwa kwa ajili yetu tutumie akili ya hali ya juu kidogo kusoma mchezo huu ni mwendelezo wakutuzima midomo
Nchemba kamaindi tumemkaba sana ishu ya miili saba mto ruvu.anaona tumemchongea kwa mabosi wake.
 
Hivi mambo ya kuhoji saa saba yuko wapi si mmejadili sana hapa JF


hii sasa shiiiiiida.....hata saa saba tunayoipenda tusiijadili kama imepotezwa au kufutwa?

Balaas
 
Usidhani sisi wote ni mang'ombe wa Chama Cha Majizi tunaosubiri kudumisha fikra za Mwenyekiti
Penye tatizo tutasema
 
polisi wamnataka wajue majina yetu halisi na namba za simu?
Kama ulishawahi Ku idiss ccm.na serikali yake jiandae jomba.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…