Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Jamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?

Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.

Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?

Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.

Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Kwa majina haya ya uongo kitu gani kinafichwa?
 
JF haina ma IT wazuri? zalisha server fake give the police kwisha, na next move server na host weka nje ya nchi.
 
Jamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?

Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.

Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?

Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.

Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Wewe hilo jina unalolitumia ni la kweli?
 
Jamii forum siyo forum ya kwanza duniani, na hakuna mahali ambapo members wanalazimishwa kuja na identity zao kamili.
 
ccm ccm

oooo....chama chamapinduzi ccm pambalama

ccm mbele kwa mbele.....tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele nawavimbe wapasuke

ccm hoyeeeee.....ccm hoyeee

Asanteni sana.
Ha ha ha we wap ww
 
Hiyo device unayotumia imei inasomeka hakuna namna mumekwisha
 
Nafikiri wafunge tu social media zote kama ndio raha yao. Mbona simple tu? Kwamba kuanzia leo hakuna Facebook,Insta.tweeter na n.k
 
Unapowabana sana watu wakashindwa hata kuongea yaliyojaa mioyon mwao unatengeneza uasi...ni sawa nakujifungia na paka ndani kisha ukaanza kumpiga....hatari yake isiyo na shaka ni kuwa atageuka kuwa chui.....
 
Niliwah kutoa uzi humu kuhusu wamiliki wa jf kuwa makini na wawadhibiti member wao kuhusu lugha wanazozitumia dhìdi ya viongozi wa serikali na chama tawala wakaufuta..sasa leo yametimia.
We nae walewale tu. Hao chama tawwla ndo wadudu gani wa kuhofiwa kiasi hicho? Msitengeneze jamii ya mang'ombe kupelekwapelekwa tu.
 
Umu ndani kuna mawakili wazuri huu ndo wakati wenu kuonyesha ubora wenu
 
ina maana hajuikani? mbona magazeti yaliandika na mahakama ikakanusha? kwa nini wasimuulize mkurugenzi aliyepokea hiyo amri ya mahakama mpaka wategemee jamii forums?
Hilo tukio unalolisema mimi binafsi nililijua humu JF baada ya mtoa mada kupost. Hivyo kila mtu anaamini na anahisi nani aliyefoji ile documents. Thays y polisi wanamtaka huyo aliyepost aseme kalitoa wapi na ili waweze kumpata muhusika na speculation kama hizo zako za kudhania ziwe confirmed.

Kwa hili serikali ina nia njema sana. JF inabidi irudi kipindi kile cha Na sio sasa imekuwa Political Forums. Kwa CCM na Chadema kuleta habari zao za kichochezi huku hawatoi hata 30,000 za kuwa Gold members
 
Jamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?

Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.

Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?

Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.

Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Kwa majina haya ya uongo kitu gani kinafichwa?
Acha wenge ww
Km una shida na majina yetu nenda Vizazi na Vifo utayakuta
Hii ni forum
 
Kama unaona JF inakuongoza kutenda dhambi ya uongo kwa nini Lumumba msianzishe forum yenu ya kuimba nyimbo za kumsifu mtukufu?
Kumbuka mambo mengi kama si yote yanayofanyika gizani au kwa kificho yanatoka kwa yule mwovu shetani.
 
Back
Top Bottom