Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii forum ni free and open to everyone hulazimishwi, inasomwa na watu wa mataifa mbalimbali si Tanzania pekee, hivyo kumlazimisha mchina ajisajili kwa jina lake haitakuwa fair utakuwa unaingilia privacy yake.Huu ni ushauri kwa wale wenye hofu ya Mungu kutambua kuwa kujisajiri kwa majina ya uongo ni kutenda dhambi ya uongo.
Na hii ndiyo sababu wengi wanajificha kwenye majina ya uongo kudaganya au kutukana.
Wakiamini hawawezi kupatikana.
Mkuu mbona wewe siyo verified member?Jamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?
Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.
Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?
Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.
Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Kwa majina haya ya uongo kitu gani kinafichwa?
Mkuu wewe mkongwe sana humu. Sheria za JF unazijua. Unafikiri Max anaweza kulinda mwanachama mzushi?Nyie ndiyo mnachafua image ya JF na kuwatafutia matatizo kina Melo.
Ulimuunga mkono kwa sababu hukumjua. Haya ya sasa ni jpm in action original. Endelea kumkubali tu.John Pombe Magufuli ....wengine tumekuunga mkono kwenye mvua na jua tukiamini unajenga Taifa jipya na uelekeo mpya. Kukamatwa kwa Maxence Melo na sababu za kukamatwa kwake HAIKUBALIKI!
Mkuu wewe mkongwe sana humu. Sheria za JF unazijua. Unafikiri Max anaweza kulinda mwanachama mzushi?
Ninakumbuka wakati uleeeee zilikuwa zikiletwa thread za udaku au madai fulani zilikuwa zikiwekwa pending kusubiri ukweli. Kama hakuna ukweli zilikuwa zinafutwa.Hayo hayakuwa makusudio ya kuanzishwa kwa JF.
Max na wakuu wengine walikuwa na lengo jema kabisa la kuanzisha JF.
Uhuru wa kujieleza una mipaka yake soma hii paragraph nadhani imewekwa hapo juu na moderator katika post #1 kuwaUhuru Wa kujieleza ndiyo Sera ya Jf, ndo maana kila MTU anauhuru Wa kutumia jina lolote, na taarifa za siri ni za mhim, vinginevyo watu wataacha kuchangia...
Hum ndani kunawatu Wa juu kabisa na wasomi, usishangae hata presidooo yumo, ila kwa a.k.a, so watuache tujiachie walao tuwe na sehem ya kuondoa stresses,
Maana life ngum so tukinyimwa na kuongea kunasiku watu wataongea kwa vitendo, jaman nawaza kwa sauti tu...
Namtania tu huyo,namuona mioga wa kutosha.Pointless
Wewe Jina lako halisi ni "nyamnini "nani? anza na wewe na wengine watafuataJamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?
Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.
Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?
Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.
Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Kwa majina haya ya uongo kitu gani kinafichwa?
Sheria zipo sawa kabisa hazina tatizo.Rejea Terms and Rules za JF.
Kwa hiyo ya bungeni yote yanatoka kwa yule mwovu shetani kwa vile yanafanyika gizani?Kumbuka mambo mengi kama si yote yanayofanyika gizani au kwa kificho yanatoka kwa yule mwovu shetani.