mmu yenyewe nayo ina mashaka mashaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na Mmu
Wewe hilo jina unalolitumia ni la kweli?Jamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?
Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.
Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?
Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.
Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Not trueHuu unaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa JamiiForums. So sad.
Jamii forum siyo forum ya kwanza duniani, na hakuna mahali ambapo members wanalazimishwa kuja na identity zao kamili.Jamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?
Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.
Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?
Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.
Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Ha ha ha we wap wwccm ccm
oooo....chama chamapinduzi ccm pambalama
ccm mbele kwa mbele.....tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele nawavimbe wapasuke
ccm hoyeeeee.....ccm hoyeee
Asanteni sana.
JF haina ma IT wazuri? zalisha server fake give the police kwisha, na next move server na host weka nje ya nchi.
We nae walewale tu. Hao chama tawwla ndo wadudu gani wa kuhofiwa kiasi hicho? Msitengeneze jamii ya mang'ombe kupelekwapelekwa tu.Niliwah kutoa uzi humu kuhusu wamiliki wa jf kuwa makini na wawadhibiti member wao kuhusu lugha wanazozitumia dhìdi ya viongozi wa serikali na chama tawala wakaufuta..sasa leo yametimia.
Hilo tukio unalolisema mimi binafsi nililijua humu JF baada ya mtoa mada kupost. Hivyo kila mtu anaamini na anahisi nani aliyefoji ile documents. Thays y polisi wanamtaka huyo aliyepost aseme kalitoa wapi na ili waweze kumpata muhusika na speculation kama hizo zako za kudhania ziwe confirmed.ina maana hajuikani? mbona magazeti yaliandika na mahakama ikakanusha? kwa nini wasimuulize mkurugenzi aliyepokea hiyo amri ya mahakama mpaka wategemee jamii forums?
Never.Huu unaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa JamiiForums. So sad.
Acha wenge wwJamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?
Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.
Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?
Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.
Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Kwa majina haya ya uongo kitu gani kinafichwa?
Kumbuka mambo mengi kama si yote yanayofanyika gizani au kwa kificho yanatoka kwa yule mwovu shetani.Kama unaona JF inakuongoza kutenda dhambi ya uongo kwa nini Lumumba msianzishe forum yenu ya kuimba nyimbo za kumsifu mtukufu?