Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

This the freak wana jf mathinker hoi hawajiamini tena kwa nn mbona tulijiamini sana ktk hoja wap sasa
 
Kifuatacho JF itakuwa ni uwanja wa CCM kujidai.
Wewe ndiyo kwa akili yako unaona JF ni mali ya Chadema nyie ndiyo mnafanya kila Melo wanasumbuliwa.
Kwahiyo akina MELO wanasumbuliwa kwa ajili JF inaonekana kama mali ya CHADEMA?
 
Kama JF night tatizo na unaamini hivyo, situation zote ulikuwa unafanya nine humu!?
 
Data gani wanataka? Si waje hapa waanzishe thread tuwape detais zetu
Wanataka vitu kama IP adress,Email uliyojiungia wanasahau kama kuna watu wana ID special ambazo akitaka kumwaga mchele hu activate VPN na kuwa na Fake ID wasitegemee kukamata watu makini
 
Acha hizo, yuko salama kivipi wakati hata dhamana Polisi wamemnyima? Hivi kweli ktk akili ya kawaida, mtu aliyejipeleka mwenyewe Polisi baada ya kuitwa ananyimwa dhamana halafu unadai yuko salama mahabusu; mahabusu kuna usalama gani?

Vv
 

Nakupata sana mkuu.

Mimi mwenyewe nimekuwa nachechemea miaka ya hivi karibuni na hiyo ni kutokana na wingi wa mada za muonekano wa FB na Instm kukatisha tamaa.

Ila bado nijivunia kuwepo hapa kwa miaka 10 ilopita na nimeona mengi, ila kwa sasa JF imefikishwa mahali si pazuri na wa kulaumiwa ni hawa baadhi ya wanachama wenzetu ambao pengine walikuwa na lengo zuri la kukosoa lakini wakavuka mipaka.

Kwa sasa maji yamemwagika na ni vigumu kuyazoa.

Ni matumani yangu kwamba Maxence Melo ataachiwa bila masharti na pia kushirikiana na polisi kwa kadri ya uwezo alo nao.

Kosa lake ni kuzuia uchunguzi wa polisi yaani "preventing the course of justice" kwa maana kwamba mlalamikaji ni dola na mlalamikiwa ni Max kwa niaba ya JF.

Cha msingi ni kwa wakili wa Max kuhakikisha Maxcence Melo anapata dhamana kesho.

Akipata dhamana itamwezesha kujipanga upya na kuunda mkakati mpya wa kuisuka JF upya kulingana na sheria ya mtandao inavyotaka maana ilikwishasainiwa.
 
Maxence Melo, mkurugenzi mtendaji wa jamii forums amekamatwa na jeshi la polisi, kituo cha kati Dar.

Polisi wanaeleza kuwa kesho atafikishwa mahakamani kwa kosa la kushindwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka.


Kesho atapanda kizimbani.
Hakuna kitu kinaitwa "kituo cha kati"....kama unatataka kutafsiri maana ya neno "Central Police Station" inatakiwa useme "kituo kikuu cha polisi" na sio "kituo cha kati"
Waandishi wengi mnaboronga kwa hili!
 
You have said it all bro...

Michango yetu iwe yenye kujenga na tafakuri fikirishi....sio watu wanatukana eti kwakuwa Jamiiforums ipo itawatetea

Eti kwakuwa tunatumia majina bandia basi tufoji nyaraka na tuziite za serikali ili kuichonganisha serikali na wananchi wake. Hii haikubaliki hata kidogo...JF isiwalinde watu wa namna hii kwani wanaaribu image ya JF.
 
Kama serikali iko serious kudhibiti uzushi na upotoshaji wangeanza na gazeti la UHURU, otherwise wanatania tu.

Wasidhani kila mtu anatishika, wengine hatuna desturi hiyo!
 
Hii comment yako inahusiana nini na Mada husika au hicho nilichokipost. Watu kama nyinyi ndio mnaosababisha kutia madoa JF na kuwaweka matatizoni viongozi wake
Kama kwako hakina maana unasepa, madoa mnatoa nyie mnaowashangilia mapolisi.
 
Wamuachie wanataka taarifa ili iweje?hawa watu wanahangaika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…