Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Wewe tu umeshindwa kuwa mfano kwa kuja na ID fake!

Jamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?

Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.

Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?

Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.

Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Kwa majina haya ya uongo kitu gani kinafichwa?
 
Sasa mimi nitaendelea kumkosoa, kumkashifu na kumkebehi

Akitenda ovyo lazima tumkosoe kwani yeye ni nani huyo JUMA PUMB MAHARAGE

MUNGU anazungumziwa na wakati mwingine wasio na hekima humkashifu, kuliko yeye ni mungu mtu au
Haya mi nimesema nitafuteni sasa mnifunge enyi watalawa dhalimu, ningekuwa na uwezo wa kijini ningeenza kuua mmoja mmoja anaejiona yeye ndo yeye.
 
ID fake ndii nini?? Labda nini sizijui ,maana watu duniani wana majina tofauti tofauti na ya makabila tofauti sasa sijui hayo yasio fake yakoje na yana sifa zipi ,au walitaka tuandike juma abdalah,au mapuya mayala au ambokile mwakifyulilo, sixtus rweyemamu,rweikiza kabyemela , looooh! Kaaazi kweli kweli !, maana nivigumu kulijua kama ni fake ama laa, maana mimi jinalangu ni kkimondoa khumalija Tsasa, sasa huyo atakaye taka kulikataa jina langu na kusema ni feki anibatize tena upya jina jipya.
Asilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.

Mimi nipo clean.
 
No longer at ease wadau ila kumbuka kua ukiwa n.a. serikali inayo kua n.a. mwenendo wa kuangaika n.a. mtu au watu kuliko matatizo au kutatua kero za nchi basi serikali hiyo haina uhalali kaa madarakani
 
Cry my beloved Tanzania - lament death of freedom of speech. Death of freedom of speech is death of democaracy.
 
Huo ni uonga tu wa serikali mm sioni sababu ya kumkamata maana huko fb,IG ,snap ndiko Id fake zipo nyingi tu wamuachie mbwana huo ni uonevu tu
 
hilo tukio lilikanushwa na mahakama,liliandikwa kwenye magazeti sana tu ila wewe una insist eti walioleta habari jamii forums ndio watoe ushahidi. So insane

Hivi umehakikisha na kujiridhisha kuwa mello kaitwa kwa ajili ya tukio hilo tuu. Hilo tukio lilikuwa posted hapa na Hayo Magazeti yameripoti kanusho la Mahamaka na si zuio la awali la mahakama.

Nitafutie gazeti ambalo liliripoti kuwa Mahakama yazuia uchaguzi wa meya. Usilete hayo ambayo yameripoti kanusho nipe lile lililoripoti habari kwa mara ya kwanza.

Nakumbuka that day uchaguzi ulipokuwa unasuasua muda
Ule ule ile barua ilipostiwa JF. Ngoja niusake ule uzi nikuwekee hapa kama bado haujafutwa
 
Kama toka zamani sisi tunaletewa vitu feki kwanini na sisi tusiwe na id feki.....wamezima simu feki sasa ni zamu yangu kuzimwa
 
Asilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.

Mimi nipo clean.
Mnajipendekeza tu hamna cha maana hapo
Kwa kweli mimi yangu siyo fake
Na nna waonya wenye fake wahakikishe wana weka real Id
 
Asilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.

Mimi nipo clean.
wewe mwenyewe un id fake, jiongeze wewe
 
Asilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.

Mimi nipo clean.
Hahahahaha kosa Kisheria???? Hao Intelijensia wao wanafanya Nn sasa kama Wanashindwa Kugundua Hata ID fake inamilikiwa na Nani......
 
Ushauri wangu kama hawa jamaa wanataka masuala yaende hivi nashauri database zote zihanishiwe mahali tofauti na Tanzania na ikibidi ofisi zihame...alafu tuwatwange vizuri sawia sawia bila moderation ya aina yoyote ile
 
Back
Top Bottom