Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Nchi iko gizani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana uwezo wa kuifunga facebook isiwe Tanzania kwa sababu kwa kufanya hivyo ni kukiuka uhuru wa habari wa kimataifa na adhabu yake ni kutengwa ambayo ni adhabu mbaya sana!
SIJAELEWA, UNA MAANISHA NINI!?Mnajipendekeza tu hamna cha maana hapo
Unataka kusemaje sasa mbna kama unapinda pindaAsilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.
Mimi nipo clean.
Nikitaka kusema pia.....naona Uganda ya miaka yamwanzo mwa utawala wa Yule bwana aliyemtoa OboteTuliwaambia... Akimaliza wanasiasa ataamia kwenu.
Tena very BIG no! Wanaomshauri wanampoteza ....very BIG mistake ...Jamani,siku zote namsuport Magu,kwa hili ni NO
Na kura yako ndiyo imetuletea haya matatizoJamani,siku zote namsuport Magu,kwa hili ni NO
sikusema kaitwa kwa tukio hilo,ila nilijiuliza mbona polisi kuna mambo mazito ya forgery hawayafanyii kazi kama hilo tukio la zuio feki la mahakama maana ile ilkuwa ni mockery of democracy na hilo suala limeisha kijuu juu tu as if nothing happened.
Ina uwezo ila sheshe lake sio la kitoto, kuna wakati Misri walijaribu wakapewa 24 hrs wawe wamefungua na Libya walijaribu, sijui serikali yetu ina gutz za kuhimili kelele ya jumuia za kimataifa.Mh!! Serikali hujui kama inauwezo wa kuifungia facebook isiwe hewani Tanzania?
I think Korea walishawahi kuifunga Facebook,sijui ni north Korea ama China,sina uhakika....