JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Jamii forum wabadilike ili kila mwanachama aje humu kwa jina lake halisi kwani kuna ubaya gani?
Hivi kama wewe unamheshimu na kumwogopa Mungu na umeahidi moyoni mwako kuyatenda yaliyo ya kweli na kuukwepa uongo.
Harafu ukajiunga jf kwa jina la uongo huoni kwamba unatenda dhambi?
Jf inawaongoza wana chama wake kutenda dhambi ya uongo na kwenda jehanum ya moto.
Nashauri kila mwanachama aje kwa jina lake halisi.
Kwa majina haya ya uongo kitu gani kinafichwa?
Asilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.
Mimi nipo clean.
hilo tukio lilikanushwa na mahakama,liliandikwa kwenye magazeti sana tu ila wewe una insist eti walioleta habari jamii forums ndio watoe ushahidi. So insane
Mnajipendekeza tu hamna cha maana hapoAsilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.
Mimi nipo clean.
Kwa kweli mimi yangu siyo fake
Na nna waonya wenye fake wahakikishe wana weka real Id
wewe mwenyewe un id fake, jiongeze weweAsilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.
Mimi nipo clean.
Hahahahaha kosa Kisheria???? Hao Intelijensia wao wanafanya Nn sasa kama Wanashindwa Kugundua Hata ID fake inamilikiwa na Nani......Asilimia 95 ya watumiaji wa JF wana ID fake. Serikali imeshatangaza kuwa kumiliki ID fake kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai. Sasa nyie wenye ID fake kiama kinakuja jiandaeni.
Mimi nipo clean.
Acheni ubishi. For da sake of JF wrkeni real IDHuo ni uonga tu wa serikali mm sioni sababu ya kumkamata maana huko fb,IG ,snap ndiko Id fake zipo nyingi tu wamuachie mbwana huo ni uonevu tu