William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Pambaf zenu kabisa wewe na mwigulu ni wanafiki wakubwa tena ktk hili mna husika kwa 100% , mnajidai wanajamvi wazuri lakini nyuma ya pazia mna ajenda zenu za siri, tena itakuwa vizuri kama JF ikiwatandika 'life ban' ili tusizione tena ID zenu wanafiki wakubwa nyie
Zamani kulikuwa hakuna udikteta uchwara,zmani hakuna alietamani malaika waje wazime mitandao,zamani tulikuwa tuna bunge live,zamani mikutano ya siasa haikufutwa.......kwa hyo usituletee hadithi zenu za lumumba wanafki wakubwa nyie mnataka msifiwe tu.
Ndio nashukuru mkuu kwa kulitambua hili.- Maneno yako ni ya busara sana I wish watu wengi hapa wangeweza kuandika kama wewe, tatizo sio kuongea isipokuwa kutetea na kusimamia ulichokisema ndipo WaTanzania wengi tunapokwama. Otherwise maneno yako ni mazito sana mkuu Salute!!
le Mutuz
Huyo wa Wikileaks ana miaka minne sasa kaomba hifadhi ya ukimbizi kwenye Ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza.Wakurugenzi wa Mitandao kama Watsaap, Facebook, Weakleaks na mingineyo duniani wanaishi vipi kama mmiliki wa kimtandao kidogo tu cha JF kinachotumiwa zaidi na wasomi anahenyeka kiasi hicho?
Katika mitandao kama ya weakleaks watu mashuhuri duniani huchafuliwa,hutajwa Wazi kwa sifa zao na anayechukia huambiwa akashtaki.Lakini hatujawahi kusikia hata siku moja DG wa mtandao huo akihenyeka kama anavyohenye kama alivyo Max.
SASA hapa umeweka FACTS gani kama sio futuhi?kwa hiyo kama wananchi wakiwa kazini tv za nini?watoe tv makazini zibaki nyumbani bunge liendelee...- Utawala ulibadilika infact Bunge bado lipo ila sio kwa wakati unautaka wa kazi maana mchana wananchi wanatakiwa kuwa kazini, msituletee hadithi zenu za huko swekeni ongea na FACTS kama huna nyamaza!
le Mutuz
Le mutuz ulipotea- Utawala ulibadilika infact Bunge bado lipo ila sio kwa wakati unautaka wa kazi maana mchana wananchi wanatakiwa kuwa kazini, msituletee hadithi zenu za huko swekeni ongea na FACTS kama huna nyamaza!
le Mutuz
Ndio nashukuru mkuu kwa kulitambua hili.
Wenzetu wameweza ku-stage mambo yanayowahusu katika mijadala kwa kusaidiwa na kitu kikubwa kabisa ...NIA NJEMA! Hiyo imesaidiwa na maturity of their institutions. Tukisema taasisi tunamaanisha hapa dini, wasomi/vyuo, media, private sector, wakulima nk. Kwetu sisi hizi institutions zote bado zinaitegemea serikali kwa karibia 95% (viongozi wa dini wanalipwa na serikali, vyuo sote tunajua, sekta binafsi bila tenda za 10% inachechemea nk nk), hivyo kufanya iwe vigumu hawa watu kuwa huru na kutoa mawazo. Pamoja na hayo tulikuwa tumeanza kusogea walau!
Ndio maana Gambia Yahya Jameh kashindwa uchaguzi na kakubali mwenyewe lakini baada ya siku tatu anaibuka na kuwaagiza wanajeshi kuwafukuza ofisini watu wa tume ya uchaguzi. Je, mtu kama huyu anaweza kuandika sheria nzuri ya habari na kuwaruhusu wananchi wake kujieleza!??
SASA hapa umeweka FACTS gani kama sio futuhi?kwa hiyo kama wananchi wakiwa kazini tv za nini?watoe tv makazini zibaki nyumbani bunge liendelee...
Sasa unazingua- Ok tatizo ni kwamba Wanasiasa wetu nao wanatuvuruga sana kwa mfano USA hivi karibuni Uchaguzi umeisha Mama Clinton kampigia simu Trump kumpongeza kwa ushindi, na siku tatu baadaye Mama Clinton kakubali mbele ya umma kwamba kashindwa na kuwataka wananchi wajiunge nyuma ya Trump kwa masilahi ya Taifa case closed.
- Sisi unajua sihitaji hata kurudia ni huzuni tupu, mgombea aliyeshindwa eti anataka kufanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwa kushindwa haijawahi kutokea Duniani, sasa for that unataka Mtawala mpya afanye nini? WATanzania wote tufike mahali tubadilike kwa manufaa ya Taifa,
le Mutuz
Au wafanye bunge usikuPole sana kwake lakini siku zote MUNGU anasimamia kwenye haki
SASA hapa umeweka FACTS gani kama sio futuhi?kwa hiyo kama wananchi wakiwa kazini tv za nini?watoe tv makazini zibaki nyumbani bunge liendelee...
Ushaanza kuleta mambo yako ya kipuuzi hapa jitu miaka 60 na ushee unawaza utafikiria unavalishwa pampers- Ok tatizo ni kwamba Wanasiasa wetu nao wanatuvuruga sana kwa mfano USA hivi karibuni Uchaguzi umeisha Mama Clinton kampigia simu Trump kumpongeza kwa ushindi, na siku tatu baadaye Mama Clinton kakubali mbele ya umma kwamba kashindwa na kuwataka wananchi wajiunge nyuma ya Trump kwa masilahi ya Taifa case closed.
- Sisi unajua sihitaji hata kurudia ni huzuni tupu, mgombea aliyeshindwa eti anataka kufanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwa kushindwa haijawahi kutokea Duniani, sasa for that unataka Mtawala mpya afanye nini? WATanzania wote tufike mahali tubadilike kwa manufaa ya Taifa,
le Mutuz
Sasa unazingua
Ina maana hujui km Afrika hakuna hakuna democracy bali tunaongozwa kidemocrazy
Sawa mzee wa after school bash- Tanzania tuna Demokrasia inayofanana na mazingira yetu kama USA wana Demokrasia inayofanana na mazingira yao.
le Mutuz
Ushaanza kuleta mambo yako ya kipuuzi hapa jitu miaka 60 na ushee unawaza utafikiria unavalishwa pampers
Subiria miaka ya ahadi ya kuishi aliyotoa Mungu ambayo ni 70 haiko mbali
Nishakuambia miaka Mungu aliyotoa ya ahadi ni 70 na wewe upo kwenye 60 na ushee ,fanya hesabu vizuri hata hivyo huna cha kupoteza hivyo hamna hata Will utakayoacha- Ina maana umeanza mambo yako ya kitoto ya kunyonyeshwa maziwa maana hapa ni uwanja wa watuwazima tu au!!
le Mutuz
huyu babu bado anashiriki after school bashSawa mzee wa after school bash
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tv unaenda nayo kazini ya nini wewe boya..Tv kwake nyumbani.- Tunajenga Taifa so wananchi mchana mzima wanatakiwa kuwa kazini sio kuangalia Bunge live, hayo mengine ya kwako na ni nonsense!
le Mutuz
Nishakuambia miaka Mungu aliyotoa ya ahadi ni 70 na wewe upo kwenye 60 na ushee ,fanya hesabu vizuri hata hivyo huna cha kupoteza hivyo hamna hata Will utakayoacha
Mimi nimemaliza