Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Pambaf zenu kabisa wewe na mwigulu ni wanafiki wakubwa tena ktk hili mna husika kwa 100% , mnajidai wanajamvi wazuri lakini nyuma ya pazia mna ajenda zenu za siri, tena itakuwa vizuri kama JF ikiwatandika 'life ban' ili tusizione tena ID zenu wanafiki wakubwa nyie

- Pole sana mimi sio Kiongozi wa anything ni mwananchi kama wewe, ila ni maneno yenu ya kilevi kama haya ndio mnaharibu ungenyamaza ungemsaidia sana MAx kuliko kujivua nguo huku duh kama umelewa mapombe U know!!

le Mutuz
 
Zamani kulikuwa hakuna udikteta uchwara,zmani hakuna alietamani malaika waje wazime mitandao,zamani tulikuwa tuna bunge live,zamani mikutano ya siasa haikufutwa.......kwa hyo usituletee hadithi zenu za lumumba wanafki wakubwa nyie mnataka msifiwe tu.

- Utawala ulibadilika infact Bunge bado lipo ila sio kwa wakati unautaka wa kazi maana mchana wananchi wanatakiwa kuwa kazini, msituletee hadithi zenu za huko swekeni ongea na FACTS kama huna nyamaza!

le Mutuz
 
- Maneno yako ni ya busara sana I wish watu wengi hapa wangeweza kuandika kama wewe, tatizo sio kuongea isipokuwa kutetea na kusimamia ulichokisema ndipo WaTanzania wengi tunapokwama. Otherwise maneno yako ni mazito sana mkuu Salute!!
le Mutuz
Ndio nashukuru mkuu kwa kulitambua hili.
Wenzetu wameweza ku-stage mambo yanayowahusu katika mijadala kwa kusaidiwa na kitu kikubwa kabisa ...NIA NJEMA! Hiyo imesaidiwa na maturity of their institutions. Tukisema taasisi tunamaanisha hapa dini, wasomi/vyuo, media, private sector, wakulima nk. Kwetu sisi hizi institutions zote bado zinaitegemea serikali kwa karibia 95% (viongozi wa dini wanalipwa na serikali, vyuo sote tunajua, sekta binafsi bila tenda za 10% inachechemea nk nk), hivyo kufanya iwe vigumu hawa watu kuwa huru na kutoa mawazo. Pamoja na hayo tulikuwa tumeanza kusogea walau!

Ndio maana Gambia Yahya Jameh kashindwa uchaguzi na kakubali mwenyewe lakini baada ya siku tatu anaibuka na kuwaagiza wanajeshi kuwafukuza ofisini watu wa tume ya uchaguzi. Je, mtu kama huyu anaweza kuandika sheria nzuri ya habari na kuwaruhusu wananchi wake kujieleza!??
 
Daah........hii habari imenisikitisha sana. Kwa kweli we have a long way to go na ninaamini tutamaliza na Mungu tu. Pole Mr. Melo, mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ili urejee kuungana na familia yako.
 
Wakurugenzi wa Mitandao kama Watsaap, Facebook, Weakleaks na mingineyo duniani wanaishi vipi kama mmiliki wa kimtandao kidogo tu cha JF kinachotumiwa zaidi na wasomi anahenyeka kiasi hicho?

Katika mitandao kama ya weakleaks watu mashuhuri duniani huchafuliwa,hutajwa Wazi kwa sifa zao na anayechukia huambiwa akashtaki.Lakini hatujawahi kusikia hata siku moja DG wa mtandao huo akihenyeka kama anavyohenye kama alivyo Max.
Huyo wa Wikileaks ana miaka minne sasa kaomba hifadhi ya ukimbizi kwenye Ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza.
 
- Utawala ulibadilika infact Bunge bado lipo ila sio kwa wakati unautaka wa kazi maana mchana wananchi wanatakiwa kuwa kazini, msituletee hadithi zenu za huko swekeni ongea na FACTS kama huna nyamaza!

le Mutuz
SASA hapa umeweka FACTS gani kama sio futuhi?kwa hiyo kama wananchi wakiwa kazini tv za nini?watoe tv makazini zibaki nyumbani bunge liendelee...
 
Le mutuz ulipotea
 
Ndio nashukuru mkuu kwa kulitambua hili.
Wenzetu wameweza ku-stage mambo yanayowahusu katika mijadala kwa kusaidiwa na kitu kikubwa kabisa ...NIA NJEMA! Hiyo imesaidiwa na maturity of their institutions. Tukisema taasisi tunamaanisha hapa dini, wasomi/vyuo, media, private sector, wakulima nk. Kwetu sisi hizi institutions zote bado zinaitegemea serikali kwa karibia 95% (viongozi wa dini wanalipwa na serikali, vyuo sote tunajua, sekta binafsi bila tenda za 10% inachechemea nk nk), hivyo kufanya iwe vigumu hawa watu kuwa huru na kutoa mawazo. Pamoja na hayo tulikuwa tumeanza kusogea walau!

Ndio maana Gambia Yahya Jameh kashindwa uchaguzi na kakubali mwenyewe lakini baada ya siku tatu anaibuka na kuwaagiza wanajeshi kuwafukuza ofisini watu wa tume ya uchaguzi. Je, mtu kama huyu anaweza kuandika sheria nzuri ya habari na kuwaruhusu wananchi wake kujieleza!??

- Ok tatizo ni kwamba Wanasiasa wetu nao wanatuvuruga sana kwa mfano USA hivi karibuni Uchaguzi umeisha Mama Clinton kampigia simu Trump kumpongeza kwa ushindi, na siku tatu baadaye Mama Clinton kakubali mbele ya umma kwamba kashindwa na kuwataka wananchi wajiunge nyuma ya Trump kwa masilahi ya Taifa case closed.

- Sisi unajua sihitaji hata kurudia ni huzuni tupu, mgombea aliyeshindwa eti anataka kufanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwa kushindwa haijawahi kutokea Duniani, sasa for that unataka Mtawala mpya afanye nini? WATanzania wote tufike mahali tubadilike kwa manufaa ya Taifa,

le Mutuz
 
SASA hapa umeweka FACTS gani kama sio futuhi?kwa hiyo kama wananchi wakiwa kazini tv za nini?watoe tv makazini zibaki nyumbani bunge liendelee...

- Tunajenga Taifa so wananchi mchana mzima wanatakiwa kuwa kazini sio kuangalia Bunge live, hayo mengine ya kwako na ni nonsense!

le Mutuz
 
- Ok tatizo ni kwamba Wanasiasa wetu nao wanatuvuruga sana kwa mfano USA hivi karibuni Uchaguzi umeisha Mama Clinton kampigia simu Trump kumpongeza kwa ushindi, na siku tatu baadaye Mama Clinton kakubali mbele ya umma kwamba kashindwa na kuwataka wananchi wajiunge nyuma ya Trump kwa masilahi ya Taifa case closed.

- Sisi unajua sihitaji hata kurudia ni huzuni tupu, mgombea aliyeshindwa eti anataka kufanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwa kushindwa haijawahi kutokea Duniani, sasa for that unataka Mtawala mpya afanye nini? WATanzania wote tufike mahali tubadilike kwa manufaa ya Taifa,

le Mutuz
Sasa unazingua
Ina maana hujui km Afrika hakuna hakuna democracy bali tunaongozwa kidemocrazy
 
- Ok tatizo ni kwamba Wanasiasa wetu nao wanatuvuruga sana kwa mfano USA hivi karibuni Uchaguzi umeisha Mama Clinton kampigia simu Trump kumpongeza kwa ushindi, na siku tatu baadaye Mama Clinton kakubali mbele ya umma kwamba kashindwa na kuwataka wananchi wajiunge nyuma ya Trump kwa masilahi ya Taifa case closed.

- Sisi unajua sihitaji hata kurudia ni huzuni tupu, mgombea aliyeshindwa eti anataka kufanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwa kushindwa haijawahi kutokea Duniani, sasa for that unataka Mtawala mpya afanye nini? WATanzania wote tufike mahali tubadilike kwa manufaa ya Taifa,

le Mutuz
Ushaanza kuleta mambo yako ya kipuuzi hapa jitu miaka 60 na ushee unawaza utafikiria unavalishwa pampers
Subiria miaka ya ahadi ya kuishi aliyotoa Mungu ambayo ni 70 haiko mbali
 
- Ina maana umeanza mambo yako ya kitoto ya kunyonyeshwa maziwa maana hapa ni uwanja wa watuwazima tu au!!

Nishakuambia miaka Mungu aliyotoa ya ahadi ni 70 na wewe upo kwenye 60 na ushee ,fanya hesabu vizuri hata hivyo huna cha kupoteza hivyo hamna hata Will utakayoacha
Mimi nimemaliza
 
- Tunajenga Taifa so wananchi mchana mzima wanatakiwa kuwa kazini sio kuangalia Bunge live, hayo mengine ya kwako na ni nonsense!

le Mutuz
Tv unaenda nayo kazini ya nini wewe boya..Tv kwake nyumbani.
 
Nishakuambia miaka Mungu aliyotoa ya ahadi ni 70 na wewe upo kwenye 60 na ushee ,fanya hesabu vizuri hata hivyo huna cha kupoteza hivyo hamna hata Will utakayoacha
Mimi nimemaliza

- hahahaha Akili ni mali sana kila mtu ana zake na wewe hizi ndio zako hahahahahaha

le Mutuz
 
katika ulimwengu huu wa kidijitali unachotakiwa uwe nacho ni vijana wenye ueledi wa kidijitali,technolojia inakimbia na wavumbuzi hawalali wanawaza nianzishe nini ,naangalia mtandao kama twitter ni maarufu kwa sababu ya kulinda usiri wa mteja wake ,yahoo. ingawaje siri za wateja zilivuja waliomba radhi kwa watumiaji,google ipo ,na watumiaji kama ilivyo JF wanachuo ,wafanyabiashara Wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali na kupata majibu sahihi bila kusafiri umbali mrefu,
 
Back
Top Bottom