Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aaawwww! miss you more Ruttashobolwa, nipo babaa.cacico miss you....
Aaaaaaaa Leo unampenda jakaya wewe mwehu kweli,mungu jalia max awe huru now.I will be Loving Jakaya kikwete Forever
Bora mmempa ban mpeni ya mwezi mzima maana saa hizi tuna hasira NA wao wanaleta maneno ya ajabu ajabu humu bora apumzike NA Sisi tuheme kheeeeSince the beginning of the 21st Century, authoritarian regimes have been shaking in their pants from a looming danger. Don’t think that the danger has anything to do with “Nuclear stockpiles” or “Dinosaur apocalypse”. The danger is in “you”: Social Media users, for instance JF in our context. Why? Because social media is a powerful tool that can invoke “synchronized public actions, resulting from “synchronized public awareness.” This is why so much time and resources is often spent on controlling the Media. Daunting challenge however arises from the fact that unlike traditional media, social media is much more unpredictable, hence uncontrollable. For instance, passing of information via ‘JF’ has freed many Tanzanians from relying on traditional media outlets, which are increasingly becoming state controlled. Also with the advent of ‘JF’, the influence of State Propaganda is becoming severely limited as vast sources of information which are beyond government’s control are now easily accessible by ordinary Tanzanians.
You are a nightmare to the regime.
Si mamlaka zote zinatoka kwa Mungu... Mfano idi Amin dadaa unataka kusema mamlaka yake yalitoka kwa Mungu??Halafu bado mnadhani mtaendelea kujificha kwa anuani bandia, kwa upuuzi kama huu,! Unaposhindwa kumheshimu rais wa Nchi yako unayeweza kumpa heshima ni nani ? Katika maisha yako??
Biblia inasema tiini mamlaka iliyo kuu sabbu hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu. !!! Halafu kwa kebehi na dharau zenu mnataka Nchii iendelee kuwaangalia tu,! Kwa kisingizio cha uhuru wa maoni na kukosoa.!
Haiwezekani na halitawezekana.
Nchi inatakiwa kuwa chini ya katiba na sio serikali. Ni udikteta nchi kuwa chniya serikali. Uhuru wa maoni ni maoni aina zote. Mazurj na mabayaJF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!
CEO wa JF asipumbazwe na watu wanaosapoti kwenda kinyume na Serikali hapa, wengi wao wana maisha yao na wala hawaishi TZ, na JF ikifa kesho, au ofisi ya JF kunyimwa kibali cha kufanya kazi TZ hawana cha kupoteza, zaidi ya kuhamia kwenye mtandao mwingine na kuendeleza wanayoyafanya, hivyo angalia maisha yako na familia yako, fanya lililo sahihi na jinsi Serikali inavyokutaka kwani mwisho wa siku Serikali ndiyo yenye nchi, watakushauri wanachama wa JF wanavyotaka lkn Serikali ndiyo wasimamizi wa hii nchi!
Halafu tunaenda Nigeria kutafuta nabii. Man, upo kati yetu aisee. Tuongoze tena kwenye hili japo sasa ni reactive zaidi.Kwa kosa gani?
Nimekumbuka huu uzi
https://www.jamiiforums.com/threads/jamiiforums-members-cybercrime-fund.831679/
Pole sana ndugu Mello.
Wewe ni rahisi kusema hivyo kwa sababu upo upande huo wa uovuMelo yuko salama..wala hakuna jambo jipya kaitwa kuhojiwa tuu.
Lakini walio sababisha kuitwa kuhojiwa ni wale waleta habari za uzushi ambazo serikali inalazimika kuhangaika kuzikanusha kila leo...
sheria ile ya mitandao ina ipa mamlaka polisi kupata taarifa za mtu kutoka kwa mtu na inawezekana hata kuchukua vifaa husika...
Melo yuko salama salimini.
Huyu bwana hatoki. Kuna gepu ya katiba inakuja soon.Hivi atakubali kweli tumbadilishe mwingine baada ya miaka yake mitano? Naona kama sasa amezidi, hataki kukosolewa, kusemwa vibaya, mbona katika jamii zetu sijawahi kuona mtu anasemwa kwa mazuri tu, hata ufanye mazuri mwingine anaweza kuona ni mabaya kwa mtazamo wake, yani leo wote tuwe na mtazamo sawa inawezekana kweli? Mbona mke kila mtu anachagua anayempenda iweje kwa kiongozi kulazimishana kumpenda wote?!!!! anyway duniani kuna kuzaliwa na kufa, yote ni maisha, hakuna atakayeishi milele, Hitler alikua mbabe kweli lakini mwisho wa siku alikufa.
Shairi kwa Max
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
Nimekuja mara moja kuonesha mshikamano kwa heshima ya Max.
Max Melo yupo selo, wengi twaona kero
Kashikwa na makachero, sheria za lelolelo
Pasi dhamana jero, ya katiba kapelo
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Max si mhalifu, kijana muadilifu
Ukumbi yakinifu, kuweka ubadilifu
Watu watoe kifu, pia hata kusifu
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Max alikataa, habari za hadaa
Majina kuwafaa, kwake kubwa fadhaa
Kanuni za nakaa, muhuri ushakaa
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Kiranga ka nabii, haya aliyaona
Akafanya utii, kaenguka kuonya
Ukumbi namna hii, tutakosa kunyonya
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Basi nduguzanguni, tuzidi shikamana
Walio uzunguni, hadi kwetu kwa mama
Tulio uvunguni, kazi bila lawama
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Badili msimamo wako kiranga mkuuShairi kwa Max
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
Nimekuja mara moja kuonesha mshikamano kwa heshima ya Max.
Max Melo yupo selo, wengi twaona kero
Kashikwa na makachero, sheria za lelolelo
Pasi dhamana jero, ya katiba kapelo
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Max si mhalifu, kijana muadilifu
Ukumbi yakinifu, kuweka ubadilifu
Watu watoe kifu, pia hata kusifu
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Max alikataa, habari za hadaa
Majina kuwafaa, kwake kubwa fadhaa
Kanuni za nakaa, muhuri ushakaa
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Kiranga ka nabii, haya aliyaona
Akafanya utii, kaenguka kuonya
Ukumbi namna hii, tutakosa kunyonya
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Basi nduguzanguni, tuzidi shikamana
Walio uzunguni, hadi kwetu kwa mama
Tulio uvunguni, kazi bila lawama
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero