nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
tutaona mengi mpaka 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh...sasa ni mwendo wa kusifia kwa kwenda frontwatu wanaongea ukweli uliopitiliza na jamaa hawako tayari kuvumilia. Wanaotafutwa ni wale wanaokosoa tu.Kama.unasifia usishangae kupata cheo
Alisema mimi naondoka ila anayekuja ni mkali kidogo, inabidi tuvumilie tu mkuuI will be Loving Jakaya kikwete Forever
Ha haa haaaKimenuka! Sasa ni Mwendo wa comment za kupongeza tu!
Tunaunga Mkono Jitihada za Mh. Rais kwa kukuza Uchumi na kurejesha Uadilifu na nidhamu Serikalini!
Kimenuka! Sasa ni Mwendo wa comment za kupongeza tu!
Tunaunga Mkono Jitihada za Mh. Rais kwa kukuza Uchumi na kurejesha Uadilifu na nidhamu Serikalini!
Umeongea kwa uchungu lakini ndio ukweli. Kama anatenda yaliyomema ya kutaka kusifiwa tuuu kwanini anaiogopa JF??? That means hata yeye anajua ana walakini mkubwa mnooo ndio maana hajiamini na kujihami kwingi.Kwa wanafiki kama wewe ndiyo mtapongeza hewa maana hakuna cha kupongeza. Mnapongeza nini hasa!? Lugumi kufisadi 37 bilioni za polisi? Bilioni 16 za wahanga wa tetemeko kwa kukwapuliwa? Kuongezeka kwa deni la Taifa kwa 55.8% sawa na 24 trillion na sasa kufikia 67 trillion? Wanafunzi wengi wanaostahili kwenda vyuoni kukosa mikopo? Kuachiwa kwa majangili wa Tembo kwa sababu uchunguzi utachukuwa muda mrefu? Wabunge wa CCM kupokea rushwa ya bilioni 10 kila mmoja? Lipi la kupongeza kati ya haya? Unarejesha uadilifu na nidhamu Serikalini kwa kusema uongo ambao unapingwa na watendaji wako akina Mafuru na Ndulu?
Kwa wale wanaojitambua na wanaona ukweli halisi wa nchi kwenda hovyo kama alivyosema Mwinyi, "Nchi inaenda kama gari bovu haina sukani" Warioba, "Nchi imepoteza muelekeo" na Butiku, "Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania"
Kwa wanafiki kama wewe ndiyo mtapongeza hewa maana hakuna cha kupongeza. Mnapongeza nini hasa!? Lugumi kufisadi 37 bilioni za polisi? Bilioni 16 za wahanga wa tetemeko kwa kukwapuliwa? Kuongezeka kwa deni la Taifa kwa 55.8% sawa na 24 trillion na sasa kufikia 67 trillion? Wanafunzi wengi wanaostahili kwenda vyuoni kukosa mikopo? Kuachiwa kwa majangili wa Tembo kwa sababu uchunguzi utachukuwa muda mrefu? Wabunge wa CCM kupokea rushwa ya bilioni 10 kila mmoja? Lipi la kupongeza kati ya haya? Unarejesha uadilifu na nidhamu Serikalini kwa kusema uongo ambao unapingwa na watendaji wako akina Mafuru na Ndulu?
Kwa wale wanaojitambua na wanaona ukweli halisi wa nchi kwenda hovyo kama alivyosema Mwinyi, "Nchi inaenda kama gari bovu haina sukani" Warioba, "Nchi imepoteza muelekeo" na Butiku, "Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania"
Kaka... Kaka!! Kwa huu uchungu ulionyesha hapa i am speechless kwa kweli.Kwa wanafiki kama wewe ndiyo mtapongeza hewa maana hakuna cha kupongeza. Mnapongeza nini hasa!? Lugumi kufisadi 37 bilioni za polisi? Bilioni 16 za wahanga wa tetemeko kwa kukwapuliwa? Kuongezeka kwa deni la Taifa kwa 55.8% sawa na 24 trillion na sasa kufikia 67 trillion? Wanafunzi wengi wanaostahili kwenda vyuoni kukosa mikopo? Kuachiwa kwa majangili wa Tembo kwa sababu uchunguzi utachukuwa muda mrefu? Wabunge wa CCM kupokea rushwa ya bilioni 10 kila mmoja? Lipi la kupongeza kati ya haya? Unarejesha uadilifu na nidhamu Serikalini kwa kusema uongo ambao unapingwa na watendaji wako akina Mafuru na Ndulu?
Kwa wale wanaojitambua na wanaona ukweli halisi wa nchi kwenda hovyo kama alivyosema Mwinyi, "Nchi inaenda kama gari bovu haina sukani" Warioba, "Nchi imepoteza muelekeo" na Butiku, "Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania"
Mkuu mambo hayako hivyo. Kwanini kunakuwa na masanduku ya maoni maofisini au ktk taasisi mbalimbali ili kuwe na usiri wa kutoa taarifa? Si ungeenda moja kwa moja kwa bosi wako kumpa maoni au ungeweka tangazo notice board na jina lako ulieweka? Kwanini kuna namba za polisi za kutuma taarifa kwa usiri? Watu watashindwa kutoa taarifa nyeti wakihofia maisha yao.Vigezo na masharti inabidi kuzingatiwa ili twende na sheria mpya ya magazeti na ile ya mitandao
kusema ukweli humu JF mazombi tupo wengi mno inabidi uongozi ili ujichomoe na kadhia hii ni muhimu wote kuwa verify our names na adress kwa ujumla wake
kama kweli hatuna nia mbaya,
Tatizo lako hujui Fasihi ndio sababu umeandika Mengi sana ya kweli lakini hayaendani na muktadha wa nilichoandika
Fasihi peleka jukwaa la lugha huku tunajadili issue zinazohusu Taifa letu siyo fasihi.
Umeongea kwa uchungu lakini ndio ukweli. Kama anatenda yaliyomema ya kutaka kusifiwa tuuu kwanini anaiogopa JF??? That means hata yeye anajua ana walakini mkubwa mnooo ndio maana hajiamini na kujihami kwingi.
We msukuma baki nasi usiondoke tenaShairi kwa Max
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
Nimekuja mara moja kuonesha mshikamano kwa heshima ya Max.
Max Melo yupo selo, wengi twaona kero
Kashikwa na makachero, sheria za lelolelo
Pasi dhamana jero, ya katiba kapelo
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Max si mhalifu, kijana muadilifu
Ukumbi yakinifu, kuweka ubadilifu
Watu watoe kifu, pia hata kusifu
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Max alikataa, habari za hadaa
Majina kuwafaa, kwake kubwa fadhaa
Kanuni za nakaa, muhuri ushakaa
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Kiranga ka nabii, haya aliyaona
Akafanya utii, kaenguka kuonya
Ukumbi namna hii, tutakosa kunyonya
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Basi nduguzanguni, tuzidi shikamana
Walio uzunguni, hadi kwetu kwa mama
Tulio uvunguni, kazi bila lawama
Kwa wengi shujaa hero, hasi mfalme Nero
Inasikitisa kusema kweli Maxence Melo kuwekwa ndani bila kosa lolote lile wakati mafisadi na wala rushwa wakiwa hawaguswi inauma sana na hatujui wanataka kumuweka ndani kwa muda gani.