Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Ni mwaka mmoja umetimia, kesi zilizohusisha Maxence kukamatwa na baadae Mike kuunganishwa kwenye mashtaka bado ziko mahakamani. Hata leo hii 13 December 2017 kesi inasikilizwa. Tunawaombea mema na ushindi katika majaribu haya makubwa kwenye harakati za kutetea faragha za watonyaji (whistle-blowers) dhidi ya wahalifu nchini mwetu. Pamoja.

Steve Dii
 
Mike Mushi mwakilishi mwenza mhhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Hapa unadhani nini? Acheni hizo......Tumieni mitandao iwe huru na isitokeze baadhi yenu kutumikia wanasiasa.
Mlikuwa na upumbavu mwingi sana yaani mtu kuitwa mushi lema muro kimaro n.k kwenu mliona hawastahili kuishi Tz wakati ni raia halali wa nchi hii
 
Mada zingine zitaletwa kama zilivyo ili kuzienzi kutokana na kujitosheleza kwenye kila kitu
 
Jiwe bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…