Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Hawa Chadema wamesababisha hayo yote maana wao ni wazee wa kuongea kila neno wanalojisikia na wala bila heshima wala adabu kwa dola inayotuongoza. Kwa mtindo huu JF itafungwa kwa Sababu ya hilo.

Wanaohitaji vyeo kwa rusha (Kujipendekeza) wasahau hilo halipo kwa awamu hii!

umesahau hiyo kauli juu ndo kisa unaandika hayo!
 
Kuna Postive na Negativ..kuna baadhi ya yetu humu JF uwa tunachangia hoja kwa evidnce nzito..smtmz polis wanatafuta evdnce ya tukio flani ukiingia JF unakuta member moja ameliongelea lile tukio kiundan zaidi lazima polis watafute evidnce hapa..
 
Reactions: efn
haguswi wanaosakwa hapa ni wale wanaokosoa sirkali ya oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tofautisha kukosoa na kuleta habari za uchochezi.
Ingekuwa ni kukosoa JF ingekuwa imeshafungiwa muda mrefu sana. Lakini kwa kuwa kuna haki ya mtu kujieleza au freedom of speech ndio maana ipo mpaka leo.

Wanaotafutwa hapa ni wale wachochezi ambao ndio wamemponza maxence mello watu ambao ni chadema na kosa kubwa ni kuitumia JF kama Propaganda tool yao kueneza uchochezi.

Kama utakumbuka vizuri taarifa za kujiuzulu
Makamu wa rais zililetwa humu na pia ni humu humu JF ilitolewa taarifa ikiw na nembo ya ikulu
Pamoja na Sahihi ya msemaji wa ikulu
Ikielezea juu ya kutenguliwa kwa mrisho Gambo.

Hakuna nchi yoyote itakayovumilia uchochezi kama huo na hao ndio haswa wanaotafutwa na serikali Kwasababu aliyefoji amefanya kosa la jinai na anatakiwa afikishwe kwenye vyombo vya sheria na hao waovu ndio mello
Anawalinda.
 
Unasema kuhusu uongo na uzushi unaoletwa humu na kuachwa lakini hatukusikii ukikemea uongo wa serikali unaoachwa bila kurekebishwa.
Huo hauwezi kusababisha vita?
 
Na ni nani atang'amua kua hii taarifa au habari ni uongo uongo!? Kama serikali ina nia njema kwanini isikamate mashoga wanao jiuza FB!? Lengo hapa ni kutoa Taarifa zitakazo msifia na kumtukuza mtukufu.
Habari za mashoga zinahusiana vipi ?
Kung'amua kama sio ukweli ni swala la mtoa habari
Kwanini alete habari ya kizushi ?
Serikali iwe kilasiku kukanusha uzushi !!!
 
Akomae mpaka dakika ya mwisho... nji hii bana

Harakati za kuwaweka watu plasta ktk kelebu zao
 
Umekazania uchochezi tu, unaweza kutueleza hizo taarifa unazozitaja zilichochea nini na wapi?
 
mh sijui itakuaje maana nilikuwa na mpango wa kulaunch mtandano kama JF.
 
Halafu leo asubuhi nikapokea sms ya kuambiwa kutumia laini isiyo na jina langu ni kosa la jinai, sasa hivi nakuta taarifa hii. Wananichanganya aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…