Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria bila Uhuru ni utumwaUhuru bila sheria ni utumwa...
Mkuu wewe ndiyo umeonesha kua anaheshimu uwepo wa hilo bunge.Hayo yakwako
Mada hapa ni Sheria ya mitandao ilipitishwa kabla ya Magufuli kuwa Rais
Kosa lake ni lipi?
Wewe ukoje? Badala ya kumlaumu anayemkatamata watu bila hatia wewe unawalaumu watoa maoni. Mimi nachukia sana watu kuitwa v.i.l.a.z.a lakini wanaoita hivo wenzao wanachukuliwa hatua gani?Niliwahi kusema jf hii
Kuna watu wanavuka mipaka
Sasa mzigo anabebeshwa Kipenzi chetu jf !!!.
Hapana ndio ukweli wenyewe kwamba sisi ndio tuliochagua kwa hiyo lazima itcostUsilete siasa mkuu...tukutane kwa hayo kwenye mijadala mingine ....
We jamaaa wewe Mungu anakuona!!!!Gari lipo mlima kitonga,dereva gafla kaanza kifafa
Mods huyu jamaa anafurahia mpendwa wetu kuwekwa ndani, nashauri apigwe banLugha gani!!!!
Chakaza huyu mrundi?
Tumesoma Terms & Conditions za JF? Privacy Policy je? Kama Polisi walifuata taratibu kwa kupata kibali cha mahakama kuomba taarifa binafsi kutoka kwa mmiliki wa JF, basi alitakiwa atoe, otherwise ni ubabe wa polisi na mmiliki wa JF yuko sahihi kukataa kutoa taarifa hizo
Hivi ni lini ccm ilifuata katiba ?Kuna sheria gani kwenye katiba ya nchi inayosema nikimnyima polisi maelezo nanyimwa dhamana na kupelekwa mahakamani?
Makamu akijiuzulu watu wanaingia mitaani kufanya fujo?Kuna uzi humu ulisema wazi na ushahidi kuwa Makamu wa rais amejiuzulu.
Kuna uzi humu ulipost barua ya ikulu ikionyesha nembo ya ikulu na sahihi ya msemaji wa ikulu ikielezea kutenguliwa kwa mrisho gambo. Huo sio uchochezi ? Au uchochezi kwako ni mpaka watu washike bunduki
kwa kosa kama hili "kwa mfano polisi wamwambie atoe details zako zote yaani kuanzia jina mawasiliano n.k kutokana na ulivojiandikisha humu" ili wakutafute kutokana na labda unachopost nyuzi mamlaka haikitaki au unawakwaza. Sioni kama ni kwa mazuri na memaKwa kosa gani?
Nimekumbuka huu uzi
https://www.jamiiforums.com/threads/jamiiforums-members-cybercrime-fund.831679/