Kwa nini haya yote hatokee kipindi hiki tu cha JPM
Mbona kipindi cha JK JF ilikuwepo na watu waliweza kutoa kero zao vizuri tu
Hoja yako hapa ni nini?
Kwa hiyo kama kipindi cha JK ilikuwepo basi iendelee kuwepo?
Kwa mantiki yako unataka kusema kwa sababu wakati wa JK kulikuwa na ufisadi basi uachwe uendelee kuwepo. Au kwa sababu kipindi cha JK kulikuwa na watumishi hewa basi waachwe tu waendelee kuwepo.
Unatakiwa uelewe kuwa dunia inabadilika kulingana na mazingira.
Leo hii hata Uingereza wamepitisha sheria ya mitandao ambayo miaka ya nyuma hawakutegemea kama itawezekana lakini kutokana na mazingira, sheria kali imepitisha bila hata kupata upinzani mkubwa bungeni.
Kwa kukusaidia soma hapa;
'Extreme surveillance' becomes UK law with barely a whimper
The Investigatory Powers Act, passed on Thursday, legalises a whole range of tools for snooping and hacking by the security services unmatched by any other country in western Europe or even the US.
US whistleblower Edward Snowden tweeted: “The UK has just legalised the most extreme surveillance in the history of western democracy. It goes further than many autocracies.”
Jim Killock, the executive director of Open Rights Group, said: “The UK now has a surveillance law that is more suited to a dictatorship than a democracy. The state has unprecedented powers to monitor and analyse UK citizens’ communications regardless of whether we are suspected of any criminal activity.”
Renate Samson, the chief executive of Big Brother Watch, said: “The passing of the investigatory powers bill has fundamentally changed the face of surveillance in this country. None of us online are now guaranteed the right to communicate privately and, most importantly, securely.”