kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Hata kama wameropoka ni kifungu gani cha Sheria Kilichosema Waropokaji wakamatwe?Humu ndani hata watu wakitoa lugha chafu mnasema freedom of speech.
Tutofautishe kuropoka na Freedom of speech.
Rais yyt anaweza kutukanwa, akakshfiwa na akasemwa kwa kebehi vile vile.
Hayo ni mambo ya kawaida ktk NCHI ZOTE ZENYE DEMOKRASIA YA KWELI.
Tazama Obama na Marais wote w Ulaya. Wanachorwa mpk Wamevaa vichupi tu.
Wanatukanwa na Kukebehiwa kila siku. Nani umeskia Kakamatwa?
Ingia Face book, Twitter and so on uone matusi wanayotukanwa Viongozi wa Nchi za wenzetu. Umeshawahi kusikia Wamekamatwa.?
Magufuli anatawala Nchi KIBEBERU.
Wakati wa Mzee wetu Kikwete Watu walikuwa wanasema wapendavyo.
Na Mzee wa Watu wala habari hana.
Leo KIKWETE anakumbukwa.
Na Huyu Magufuli Pia atapita tu.
Hizi ni Jazba za kisukuma.
Zina mwisho wake.
Walitokea kina King Arthur and Ferrous walitawala EMPIRE wacha nchi ndogo km Tz. Leo hii WAKO WAPI?
Kwisha maneno yao.
Hata mifupa yao Hakuna.