Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Hivi haujui kama serikali inaweza kuzuia facebook,instagram,etc... kutokuwa hewani kwenye ardhi ya Tanzania sembuse ije iwe jf?

Tanzania haina ubavu wa kuzuia social networks kubwa kama facebook, China, Northen Korea, Vietnam, Syria, Iran na wababe wengine ndiyo wameweza. Kwa kifupi Tz haina jeuri hiyo.
 
Wednesday, December 14, 2016
JamiiForums boss held over refusal to identify members

pic+jamii+forums+founder.jpg

The co-founder of JamiiForums, Mr Maxence Melo, was arrested yesterday for allegedly declining to disclose the identities of contributors who allegedly posted on sensitive information on his social media platform. PHOTO|FILE

In Summary
  • Mr Melo’s lawyer Benedict Ishabakaki said his client was arrested over what the police claimed was his failure to appear in court for a case filed against Jamii Media, the company, which owns JamiiForums, a popular whistle-blowing online platform in the country.

By Louis Kolumbia @Collouis1999 lkolumbia@tz.nationmedia.com
Dar es Salaam. The co-founder of JamiiForums, Mr Maxence Melo, was arrested yesterday for allegedly declining to disclose the identities of contributors who allegedly posted on sensitive information on his social media platform.

Mr Melo’s lawyer Benedict Ishabakaki said his client was arrested over what the police claimed was his failure to appear in court for a case filed against Jamii Media, the company, which owns JamiiForums, a popular whistle-blowing online platform in the country.

The case, which Mr Melo apparently has no knowledge of, was lodged at the High Court, accusing him of declining to reveal the identity of the subscribers who allegedly posted sensitive information on the online forum, according to Mr Ishabakaki.

“The police called me yesterday (Monday) and advised me to tell him to report to the police station today (yesterday), where after he arrived he was immediately arrested,” Mr Ishabakaki noted.

Mr Ishabakaki explained that he was surprised to hear his client has been held, while a similar case had been filed in March at the High Court and judgement was scheduled for February 22 next year.

In the current case, the police allege that for the past three months they have been writing to the company management, demanding the disclosure of the names of individuals providing sensitive information.

“They claim what has been posted, include the theft of fuel at the Dar es Salaam Port, corruption in public offices and tax evasion. Probably, those named in the reports complained to the police, wanting the disclosure of the names of subscribers,” he said, while on his way to Dar es Salaam from Zanzibar.

In the Case No 9 of 2016, Jamii Media asks the High Court to review sections that violate the rights of people using the social media contrary to Articles (26)(2) and (30)(3) of the Union Constitution, 1977.

The Cybercrimes Act, 2015 allow law enforcers investigating criminal cases to seek the disclosure of information from any person in possession of it. When called for comment, Dar es Salaam Special Zone Police Commander Simon Siro declined to say anything on the issue. Instead, he told this reporter that he would speak about it on Friday.
 
Media freedom and freedom of expression can't bring about chaos,but help the sustainability of national unity as everyone is free to speak what he/she believes. Don't tell me about the current Newspaper Act.[emoji12]
I don't agree with you especially the part of one being free to speak freely of what he believes. If that is the case, then, even lunatics who have little regards for others rights would be right. Every one must act and carry out his duties responsibly without creating discord in the community.
 
Ujinga tu kama ujinga mwingine. Mkitaka msisemwe mnakuja na gear ya law and order. Ujinga tu.

Mjinga mimi au wewe. Ukipiga kelele JF kuwa sheria hairuhusu then what? Ni hatua gani mnatakayochukua? Au mnataka kufarijiana nyuma ya keyboard.

Wenzenu vitu kama hivi kama wanaona vimekosewa hatua ya kwanza ni kwenda kuomba tafsiri ya mahakama then zingine zinafuatia.

Alipoteuliwa Naibu Spika Tulia mlikuja na hoja kama hizi then what? Kwahiyo mkishatoa malalamiko hapa then watu wakachangia imeisha.

Nyinyin ndio wajinga. Sehemu serikali ilipokosea ndio mtaji wa vyama vya upinzani. Ila kwa wapinzani nyinyi serikali ikikosea basi ni gia ya kusutana baada ya ku take proper actions
 
Nchi ambayo rais akifungua mdomo unapiga alama ya msalaba kuomba Mungu asichafue hali ya hewa mambo kama haya ni ya kawaida sana.

Walio chini yake wanasema eti wanataka kwenda na speed ya mukulu. Inatia kinyaaaa
 
kazi ipo kwa hiyo kisa ni hiki sio



“They claim what has been posted, include the theft of fuel at the Dar es Salaam Port, corruption in public offices and tax evasion. Probably, those named in the reports complained to the police, wanting the disclosure of the names of subscribers,” he said, while on his way to Dar es Salaam from Zanzibar.
 
Nadhani ni sahihi wakachukua hatua hiyo ,maana dhamana ni haki ya Mtuhumiwa. Lakini kwa bahati mbaya Polisi wamekuwa wakitumiwa kuwaumiza watuhumiwa Kisaikolojia.

Ni muda sasa Mawakili kuweza kuiangalia Sheria ikiwezekana kufungua Kesi ya Madai dhidi ya Jeshi la Polisi kwa hivi Vitendo vya kuwanyima Dhamana watuhumiwa.
Sorry hiyo audio ya Mike Mushi ikwapi?
 
Hivi haujui kama serikali inaweza kuzuia facebook,instagram,etc... kutokuwa hewani kwenye ardhi ya Tanzania sembuse ije iwe jf?
sasa mbona hizo fb na ig ambazo zinaongoza kuchafua na kutoa matusi pia kuvunja sheria za mitandao hazichukuliwi hatua na serikali ya tz kuwakamata hao ma ceo wao? acha ushamba wew.
 
Huyujamaa alisharukwa na Akili mimi namfahamu vizuri siku alipoperekwa mirembe geti lilifungwa haraka ili asitoke.Nawaomba msimshangae kiivo,baada ya kutoka mirembe ndo akaenda Lumumba akaajiriwa buku 7 kilasiku,nikupayuka tu kama babaake Sizonje.
 
Back
Top Bottom