Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Sasa wewe unachokiongea hasa ni kipi kwa maana sikuelewi, kwamba TZ hatuna uwezo (kitaalamu) kuifungia facebook au hatuwezi kuifungia facebook kwa sababu hatuna sababu ya kufanya hivyo?

...sidhani kama anamaanisha hatuwezi kufungia face book kwasababu hatuna utaalamu, hapana, why? mbona serikali ikiamua inaweza kukataza hata internet isiwepo kabisa... nafikiri anachomaanisha Mzee wa Kingonzile ni je? nchi yetu ina uwezo wa kumudu sanctions za UN na western countries? au labda tumeshakuwa donner country tayari na tunajitosheleza wenyewe kama wanavyofanya North Korea na Iran?
 
- kwani ilifanyikia shuleni au Club Escape One? Kumbe pale ni mahali pa watoto? hahahahaha

le Mutuz
We mzee siamini km zinakutosha
Sena tu kwavile natambua umri wako ndo maana sitaki tu laana

Anyway mwakani tutahudhuria wote after school bash ila usitamani vibebez vyangu
 
We mzee siamini km zinakutosha
Sena tu kwavile natambua umri wako ndo maana sitaki tu laana

Anyway mwakani tutahudhuria wote after school bash ila usitamani vibebez vyangu

- hahahahahahahaha jibu swali kumbe Escape One siku hizi ni mahali pa watoto wa shule? haya mkuu nisamehe sana hahahahaha

le Mutuz
 
Soma comment yako mara mbili au tatu, kisha angalia familia yako kama unayo, au wazazi wako kama wapo, then rudia kusoma tena comment yako, halafu jiulize madhumuni mficho yaliyo ndani ya nafsi yako.! Kisha yatakayokupata usitafute mtu wa kumlaumu jamii forum sio mbali kama udhaniavyo.
QUOTE]

Sasa kwanini unamtisha binadamu mwenzako hivyo?! Alichosema Nyaluhusa87 kwani hiyo wish ya kwamba malaika waje wafungie mitandao mpaka maendeleo yatakapofanywa haijawahi kusemwa in public?!
Tena unamtishia mwenzako na familia yake kabisa! Muogopeni Mungu jamani!!!!
 
- huwa ni rahisi kwa boya kujisema kwa maneno yake mwenyewe kuwa ni boya, hahahahahaha

le Mutuz
Huyu mtu anayejiita le mtuz japo ndo mara yangu ya kwanza kumsikia,anapost utumbo sawa na mwili wake. Kweli mwili mkubwa akili kisoda. Huyu si anatakiwa kukaa na kulea wajukuu? Mbona anajibu as if ni mtoto wa darasa la Tatu C?
 
Duh ni bora serekali ikaifanya jf kuwa mali ya CCM kama yalivyo magazeti ya uhuru na redio uhuru ambavyo kazi yake ni kuipongeza CCM na serekali likajulikana moja.
 
Huyu mtu anayejiita le mtuz japo ndo mara yangu ya kwanza kumsikia,anapost utumbo sawa na mwili wake. Kweli mwili mkubwa akili kisoda. Huyu si anatakiwa kukaa na kulea wajukuu? Mbona anajibu as if ni mtoto wa darasa la Tatu C?

- Sasa mtumzima unajibishana na mtoto kweli inakuingia akilini au na wewe ni wewe mtoto mdogo? hahahahaha unanivunja mbavu U know

le Mutuz
 
Back
Top Bottom