Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?