Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Sawa!! Lakini iweje leo ndio awekewe ulinzi wote ule, mbona miaka yote ile haikuwa hivyo?!!Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu ikulu. Lkn pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu
Iko hivyo hivyoSawa!!lakini iweje leo ndio awekewe ulinzi wote ule, mbona miaka yote ile haikuwa hivyo?!!
Hahahahhhah hatari sana aiseeJanabi huyu anayetuambia tusile maharage,tusile matunda,tusinywe maji,tusile nyama,tusile ugali,tusile ubwabwa,tusile hiki,tusile kile!!!
He is a nutty professor
Ndy mapholophesa wenu sasa mtafanyajeJanabi huyu anayetuambia tusile maharage,tusile matunda,tusinywe maji,tusile nyama,tusile ugali,tusile ubwabwa,tusile hiki,tusile kile!!!
He is a nutty professor
Professorial rubbish in Lissu's voiceJanabi huyu anayetuambia tusile maharage,tusile matunda,tusinywe maji,tusile nyama,tusile ugali,tusile ubwabwa,tusile hiki,tusile kile!!!
He is a nutty professor
Kuhudumia marais ndio sifa ya kulindwa sana au kuna lingine?Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu ikulu. Lkn pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Tuoneshe huo ulinzi, acha maneno ya kimbeambeaSawa!!lakini iweje leo ndio awekewe ulinzi wote ule, mbona miaka yote ile haikuwa hivyo?!!
[emoji38][emoji38][emoji38]Rais gani aliyemtibu
JPm yuko wapi?