sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Labda makerubiAnalindwa na aina gani ya ulinzi, sungusungu au askari wa aina ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda makerubiAnalindwa na aina gani ya ulinzi, sungusungu au askari wa aina ipi?
KumbeAlifanya kazi nzuri mwaka jana kwa kuirudisha nchi kwenye muhimiri wake.
Professor SARUNGISasa umtowe daktari bingwa wa moyo anayeokowa maisha ya wengi umpeleke kwwnue kundi la wala kodi hiyo itakuwa ni akili au matope?
Nitajie daktari bingwa unayemjuwa anayeacha field yake kwenda kwenye hizi siasa uchwara au hata kuteuliwa huko.
Fuatilia vizuri historia ya mtu anayeitwa Profesa Shaba Nyerere aliwaomba Waingereza wamuache Prof Shaba arudi Tanzania kuja kusaidia Taifa lake lakini Waingereza walimuahidi kumpa Nyerere madaktari watano kumreplace Profesa Shaba lakini Nyerere alikataa hatimaye Profesa Shaba ilibidi arudi Tanzania kulitumikia Taifa.
Hahahaaaa labda nutty Profesa analindwa kwa kuwa alimtibu Jpm na kupitia matibabu hayo akajua mambo nyeti Sasa akiyatoa nchi itatikisikaJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Kwa hiyo kuwatibu ma Raisi ndio anapewa Ulinzi ?
Professor David Homel Mwakyusa.Professor SARUNGI
Kabla ya kuwa daktari wa Kikwete, alikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia. Kikwete alimuopoa huko alipopata uraisi. Ikumbukwe kuwa yeye ndiye muasisi kufanyika kwa operation za moyo TZ na tangu aanze hiyo kazi ame"save" matrilioni ya shilingi. We may not know him, he may not seem important but the institution he leads has reduced international flight of money in the name of getting treatment abroad due to such treat not being available in TZ. Actually we are reaping a lot from 0our neighbors in terms of medical services...heart diseases.
Huyu Prof wa mchongo awe daktari wa Royal family?....acheni utani ..mtu aliyefeli na kutimuliwa..hahahaAlikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia akiishi U.S.A? Maana Kikwete alimuopoa huyu bwana akifanya kazi Marekani alikokuwa na kaka yake anaitwa Kessy Janabi!!!!
Umesahau na mkateJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Dah,umeongea mambo makubwa sana kwa nukta chache,hongera sanaAnajua mengi kuhusu pacemakers !! and he is among them.
IYKYK
Mkuu wale si ni Suma JKT. labda wanaepusha usumbufu wa kumuona kwa tatizo linaloweza shughulikiwa na watu wa chini yake.By the way hata hivyo huwezi tibiwa daktari mmoja na raisi wa nchi.Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?