Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Nafikiri aliangusha kijiti cha kula mbakishie baba kwa bahati mbaya, ......

Haya maisha haya unaweza kuwekewa mazingira ufanye kosa ambalo likakugharimu sehemu ya uhai wako uliobaki yamkini huku litenda kwa matoeo tarajiwa.

Mungu ni mwenye huruma ukitubu anasamehe kimbembe n kwa wananzengo
 
yoga hebu njoo utuambie mtu anaelindwa sana kwenye kampuni huwa anakua na sifa gani?? Huenda huyu anaeongelea akawa na sifa za kulindwa ila wadau wanatoa povu tu.
 
Professor SARUNGI
 
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!

He is a nutty professor
Hahahaaaa labda nutty Profesa analindwa kwa kuwa alimtibu Jpm na kupitia matibabu hayo akajua mambo nyeti Sasa akiyatoa nchi itatikisika
 
Kwa hiyo kuwatibu ma Raisi ndio anapewa Ulinzi ?

Hii ni mpya ; huko nyuma kulikuwa na madaktari wa Rais wakina Marehemu Nhonoli, Makene na hata hawa wa Marehemu Magufuli hawakuwa na ulinzi!! Kwa huyu Janabi lazıma kutakuwa na sababu za ziada zinazofanya alindwe kivile!
 

Alikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia akiishi U.S.A? Maana Kikwete alimuopoa huyu bwana akifanya kazi Marekani alikokuwa na kaka yake anaitwa Kessy Janabi!!!!
 
Alikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia akiishi U.S.A? Maana Kikwete alimuopoa huyu bwana akifanya kazi Marekani alikokuwa na kaka yake anaitwa Kessy Janabi!!!!
Huyu Prof wa mchongo awe daktari wa Royal family?....acheni utani ..mtu aliyefeli na kutimuliwa..hahaha
Wazee Saudi wapo mbali sana kwenye Medicine...

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wale si ni Suma JKT. labda wanaepusha usumbufu wa kumuona kwa tatizo linaloweza shughulikiwa na watu wa chini yake.By the way hata hivyo huwezi tibiwa daktari mmoja na raisi wa nchi.
 
Dr wakikwete na Dr wa ugonjwa wamoyo wa magufuli na magufuli mwenyewe na magufuli alizima ghafla halali apewe ulinzi na kwasasa ni Dr wa mtoto wa malecela aliyekimbia amerika kisa familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…