Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Hofu dhidi ya sukuma gang wanaoamini mtu wao aliwahishwa ahera.
 
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!

He is a nutty professor
Kula ili uwe mteja wake baada ya miaka kadhaa
 
Huu ni uongo.kwamba akifa basi Leo pale JKIC na kazi zimekufa?
Toeni hoja zenu lakini bila kuombea watu vifo. Kupoteza daktari mmoja wa binadamu, mimi huwa na-assume kuwa kunaendana na upotevu wa maisha ya angalau mgonjwa mmoja kila siku kwa mwaka mzima! Etremes kwenye mjadala huu naomba sana watu waziepuke! Mtu ambaye anahusika na uhai wa mtu moja kwa moja ni wa muhimu mno katika maisha ya kila mmoja wetu; tuache jokes tafadhali
 
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!

He is a nutty professor
Ukimsikiliza utashindwa kuishi
 
Umeshasema ni mkurugenzi mtendaji wa JKHI sasa vipi tena unamalizia kwamba siyo kiongozi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…