Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ila hii dhana yako kwamba ngowi wamemkolimbee mbona hai hold water? Kile sio kifo cha kupangwa bwanaWacha alindwe unataka wale kichwa kama Ngowi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hii dhana yako kwamba ngowi wamemkolimbee mbona hai hold water? Kile sio kifo cha kupangwa bwanaWacha alindwe unataka wale kichwa kama Ngowi
ThanksSio Masauni. Ni Dr. Ferdinand Masau
Hofu dhidi ya sukuma gang wanaoamini mtu wao aliwahishwa ahera.Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Kula ili uwe mteja wake baada ya miaka kadhaaJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Na wewe unakula kulingana na maelekezo mauzauza ya nutty professor?Kula ili uwe mteja wake baada ya miaka kadhaa
Toeni hoja zenu lakini bila kuombea watu vifo. Kupoteza daktari mmoja wa binadamu, mimi huwa na-assume kuwa kunaendana na upotevu wa maisha ya angalau mgonjwa mmoja kila siku kwa mwaka mzima! Etremes kwenye mjadala huu naomba sana watu waziepuke! Mtu ambaye anahusika na uhai wa mtu moja kwa moja ni wa muhimu mno katika maisha ya kila mmoja wetu; tuache jokes tafadhaliHuu ni uongo.kwamba akifa basi Leo pale JKIC na kazi zimekufa?
Yuko mpoleee mnooo.
Nimeanza kuamini sasa.Code rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nnachojua ni
Daktari wake Le mutuz[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanadai ni bingwa wa kuchomoa nyaya za battery
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kisenge alikorokocha betri hadi apewe ulinzi?
Ila ...Yuko mpoleee mnooo.
Sawa Mzee wa IMMIGRATION....Usisahau ni Mtanzania wa kuandikishwa huyu.
Ukimsikiliza utashindwa kuishiJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Sio Masauni. Ni Dr. Ferdinand Masau
Sawa Mzee wa IMMIGRATION....
Haiondoi utanzania wake....
@nyabhingi za masikuJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Shwari mkuu@nyabhingi za masiku
Nimefurahi kusikua hivyo mkuu nyabhingiShwari mkuu
Umeshasema ni mkurugenzi mtendaji wa JKHI sasa vipi tena unamalizia kwamba siyo kiongozi??Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?