Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Alikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia akiishi U.S.A? Maana Kikwete alimuopoa huyu bwana akifanya kazi Marekani alikokuwa na kaka yake anaitwa Kessy Janabi!!!!
Mkuu hebu kuwa serious, mtu yeyote akisoma porojo anaweza kutambua haraka. Saudi Arabia wanchukue mbongo akatibu familia ya Kifalme? Saudi Arabia hii hii ya Riyadh na ubaguzi wao wa weusi. Hakuna daktari atakuwa Tanzania na asiwepo kama yeye Saudia
 
Wanajaribu kumlemba tu kwavile anamtibu Kikwete maradhi yake!!! Hakuna cha Saudi Arabia wala Oman!!!
 
Ndo "aliechomoa betri" ishu ya mwamba.
Mwamba alidedeshwa na Wakora inaniumaga sana hii kitu.
 
Wanajaribu kumlemba tu kwavile anamtibu Kikwete maradhi yake!!! Hakuna cha Saudi Arabia wala Oman!!!
Somalia unajuwa wewe mimi nina uhakika wa yeye kuwa daktari Saudi Arabia. Nimewahi kuwa naye kwenye mitandao ya kwanza na hii ilikuwa 1994, wakati ambao ulikuwa unaweza kungoja link kufunguka kwa zaidi ya saa moja, na kulikuwa hakuna desktop au laptop ya 1GB.
 
Nani kazungumzia habari za Somalia hapa? Suala sio kuwa daktari Saud Arabia bali kuwa daktari wa Saudi Royal family!!! Kuwa nae kwenye mitandao 1994 sio hoja.
 
Ila Proffesa Ngowi yeye hakuwa mtu muhimu kwa nchi hii?

Je maprofesa wote na madaktari wa wakubwa nchi hii wanapewa huo ulinzi?

Wacha alindwe ila iko siku ya Mungu kutenda haki itafika tu.
Una maana angekuwa na ulinzi contena lisingemwangukia! Really! Hii inatoka kwa mtu mwenye IQ ya kawaida au ya zezeta!
 
Kuhudumia marais ndio sifa ya kulindwa sana au kuna lingine?

Muache ujinga, kulindwa ni dhana Pana, hata mahabusu wanalindwa, ukiwa unajua Sana mambo ya ndani ya nchi lazima ulindwe, Hata Mume wa Samia lazima analindwa Sana, why?
 
Muache ujinga, kulindwa ni dhana Pana, hata mahabusu wanalindwa, ukiwa unajua Sana mambo ya ndani ya nchi lazima ulindwe, Hata Mume wa Samia lazima analindwa Sana, why?
Mambo ya ujasusi sio?
 
Umesha msahau Pro. Sarungi?
 
Kwao ni sehemu gani? Anaitwa nani
 
Vipi kuhusu yule aliokufa kwa kuangukiwa na kontena juzi huko Mlandizi yeye hakuwa muhimu? ukiona mtu anawekewa kipenyo ujue kuna ishu hapo kipindi cha jiwe hadi wakurugenzi wa halmashauri walikua na vipenyo.
mbona mpaka leo 80% ya wakurugenzi na wakuu wa mikoa mpka wilaya ni watu wale 100% sema tu kwa macho ya nje utaona tu kama fulani kala nafasi kama bahati lakini kiuhalisia huwa si bahat mbaya mzee
 
Sasa nimeelewa. Alikuwa daktari wa Kikwete. Akawa daktari wa JPM.

Yaani daktari wa marais wawili. Ana haki ya kulindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…