Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Ni kitengo muhimu kwa maslahi ya taifa, kulindwa ni wajibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hebu kuwa serious, mtu yeyote akisoma porojo anaweza kutambua haraka. Saudi Arabia wanchukue mbongo akatibu familia ya Kifalme? Saudi Arabia hii hii ya Riyadh na ubaguzi wao wa weusi. Hakuna daktari atakuwa Tanzania na asiwepo kama yeye SaudiaAlikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia akiishi U.S.A? Maana Kikwete alimuopoa huyu bwana akifanya kazi Marekani alikokuwa na kaka yake anaitwa Kessy Janabi!!!!
Mkuu hebu kuwa serious, mtu yeyote akisoma porojo anaweza kutambua haraka. Saudi Arabia wanchukue mbongo akatibu familia ya Kifalme? Saudi Arabia hii hii ya Riyadh na ubaguzi wao wa weusi. Hakuna daktari atakuwa Tanzania na asiwepo kama yeye Saudia
Mimi nimetoa facts, siyo kumtetea. Anaweza akawa na yake ambayp siyajui.Mkitetea kwa nguvu namna hii, mashaka ndio yanazidi!
Somalia unajuwa wewe mimi nina uhakika wa yeye kuwa daktari Saudi Arabia. Nimewahi kuwa naye kwenye mitandao ya kwanza na hii ilikuwa 1994, wakati ambao ulikuwa unaweza kungoja link kufunguka kwa zaidi ya saa moja, na kulikuwa hakuna desktop au laptop ya 1GB.Wanajaribu kumlemba tu kwavile anamtibu Kikwete maradhi yake!!! Hakuna cha Saudi Arabia wala Oman!!!
Somalia unajuwa wewe mimi nina uhakika wa yeye kuwa daktari Saudi Arabia. Nimewahi kuwa naye kwenye mitandao ya kwanza na hii ilikuwa 1994, wakati ambao ulikuwa unaweza kungoja link kufunguka kwa zaidi ya saa moja, na kulikuwa hakuna desktop au laptop ya 1GB.
Una maana angekuwa na ulinzi contena lisingemwangukia! Really! Hii inatoka kwa mtu mwenye IQ ya kawaida au ya zezeta!Ila Proffesa Ngowi yeye hakuwa mtu muhimu kwa nchi hii?
Je maprofesa wote na madaktari wa wakubwa nchi hii wanapewa huo ulinzi?
Wacha alindwe ila iko siku ya Mungu kutenda haki itafika tu.
Kuhudumia marais ndio sifa ya kulindwa sana au kuna lingine?
Mambo ya ujasusi sio?Muache ujinga, kulindwa ni dhana Pana, hata mahabusu wanalindwa, ukiwa unajua Sana mambo ya ndani ya nchi lazima ulindwe, Hata Mume wa Samia lazima analindwa Sana, why?
Umesha msahau Pro. Sarungi?Sasa umtowe daktari bingwa wa moyo anayeokowa maisha ya wengi umpeleke kwwnue kundi la wala kodi hiyo itakuwa ni akili au matope?
Nitajie daktari bingwa unayemjuwa anayeacha field yake kwenda kwenye hizi siasa uchwara au hata kuteuliwa huko.
Fuatilia vizuri historia ya mtu anayeitwa Profesa Shaba Nyerere aliwaomba Waingereza wamuache Prof Shaba arudi Tanzania kuja kusaidia Taifa lake lakini Waingereza walimuahidi kumpa Nyerere madaktari watano kumreplace Profesa Shaba lakini Nyerere alikataa hatimaye Profesa Shaba ilibidi arudi Tanzania kulitumikia Taifa.
Kwao ni sehemu gani? Anaitwa naniKuna Scientist mmoja Mchaga Yuko Marekani. Kuna kipindi alikuja likizo yaani mpaka inakua kero. Yaani ulinzi ni mkali mno. Mpaka Kulala siyo nyumbani. Ni hotel na walikuwa wanahama Arusha, Moshi Mjini na Arusha. Nilisikitika Sana. Baba yake mpaka aliugua presha akimuwaza mtoto wake Genius. Ila kwao kumejengwa Sana kama ulaya na tetesi ilisimamiwa na Mmarekani!!!!! Mateso haya.
Naye analindwa?Prof mwakyusa mbona hamumsemi
Sio kweli!!Sarungi amevuma zaidi kwenye mambo ya timu yake ya Simba na kwenye siasa kuliko utabibu.
mbona mpaka leo 80% ya wakurugenzi na wakuu wa mikoa mpka wilaya ni watu wale 100% sema tu kwa macho ya nje utaona tu kama fulani kala nafasi kama bahati lakini kiuhalisia huwa si bahat mbaya mzeeVipi kuhusu yule aliokufa kwa kuangukiwa na kontena juzi huko Mlandizi yeye hakuwa muhimu? ukiona mtu anawekewa kipenyo ujue kuna ishu hapo kipindi cha jiwe hadi wakurugenzi wa halmashauri walikua na vipenyo.
Sasa nimeelewa. Alikuwa daktari wa Kikwete. Akawa daktari wa JPM.Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Nadhani ni sifa. Ila alishindwaje kumtibu JPM?Kuhudumia marais ndio sifa ya kulindwa sana au kuna lingine?