TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Maisha haya!!!
Ukiuliza:
Kwanini madereva wa serikali wanakimbiza sana magari utaambiwa boss alikuwa na haraka
Kwanini wanaasafiri usiku wa manane utaambiwa kuna utulivu na njia ni salama sana
Kwanini wananunua magari ya Mil 600 watakuambia ni salama sana na ngumu kupata ajali

Imagine kishindo cha kuhamisha na kutenganisha gari kubwa na tela yake na hata kuzibua vizibo vya tank la mafuta speed ilikuwa ngapi kama siyo Km 160+ PH
 
Yani halipwe Mshahara million 30 bado posho za vikao kila siku alafu asafiri kwa gari toka dar mpaka msoma sasa hzo ndege atazipanda nani?
Ukiona hivyo ujue gari na bosi mwenyewe lilikuwa linaenda kwa shughuli binafsi kwa kivuli cha shirika la umma. Dereva kama lilivyo gari hana kauli zaidi ya kushangilia posho na mafuta ya gariπŸ€”
 
Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma....
 
Yani halipwe Mshahara million 30 bado posho za vikao kila siku alafu asafiri kwa gari toka dar mpaka msoma sasa hzo ndege atazipanda nani?
KINachofanya watu wasafiri/wasisafiri kwa magari/ndege siyo ukosefu wa fedha tu. Inawezekana alikuwa na mambo muhimu ya kufanya njiani kama kutembelea ndugu, kikazi etc. Au alitaka tu kujionea hali ya nchi ilivyo ili kupata picture halisi. Mambo ni mengi ila nadhani wewe umeamua kujitoa ufahamu.. Na zaidi nadhani ni umaskini unaokufanya kusema hivi kwa sababu huwezi kuruka na ndege muda wote, sometimes utataka kuangalia nchi yako na watu wake.
 
poleni familia πŸ™
Watu wema hata kwenye picha tu ukimuona unamjua huyu ni mwema πŸ™

Na wabaya huwa wanajulikana tu hata akiwa ni mwenye sura yenye tabasamu 😳 ! 😳 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…