Wanajukwaa habari za wakati huu.
Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi
Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF anadharau juu ya haki za watumishi wenzake ambao wanadai haki zao. Ajue na kuelewa maana ya haki. Hapo sio kama kule bodi ya mikopo alipokua anakadiriatu kwa kufanya ana ana dooo
Ninashindwa kuelewa nikwanini mtu amekamilisha viambatanisho vyote lakini hela hawatoi ukipiga simu wanatoa majibu haya na ukijapiga wakati mwingine wanatoa majibu mengine. Utadhani ni ofisi tofauti zenye majukumu,malengo na watumishi tofauti. Yaani ofisi ipo kama kijiwe maana haina muda maalum wa kushuhulikia matatizo ya watu.
Mfano unaweza ukaambiwa taratibu zimekamilika lakini mhasibu ametoka, ukijauliza unaambiwa malipo yanafanyika tarehe 25 hivyo subiri mwezi ujao. What a rubbish
Nikwanini haki ya mtu unaishikilia mkononi mpaka ubembelezwe? Wewe mzee umeiharibu ofisi.
Naomba kujua au huyo mhasibu na wewe lenu ni moja? Au hela za watu mnapigia kwanza dili kisha mkimaliza baada ya mwezi ndio mnawalipa wanufaika? Au wewe na huyo mhasibu mnajiona kama nyie hamgusiki kiasi cha kufanya kazi kwa mazoea na dharau
Nina uhakika kwamba TAKUKURU wakiingia kufanya kazi yao hapo watagundua uzembe mwingi na matumizi mabaya ya ofisi
Hata hivyo nitawarekodi majibu yenu kwanyakati tofauti tofauti na niyaweke jukwaani Ili watu wawasikie mnavyojichanganya. Sasa mkipigiwa simu MJITAMBULISHE KWA MAJINA YENU KAMILI ili mshuhulikiane wenyewe
Ninarudia kusema mzee ulilalamikiwa sana ukiwa bodi ya mikopo na hapo umepelekwa unaendelea kuishi kwa mazoea
Kama vipi mfuatwe huko huko Dodoma msijifanye mnashuhulukia mambo kimtandao kumbe usanii,uswahili na kupotezea watu muda