- Thread starter
- #21
Sijui tuwafuate Dodoma kwa mabango na waandishi wa habari. Au mpaka tuvae mashati ya kijani ndio mtatuheshimuWewe utakuwa mtu wa sita nasikia wanasumbua kutoa hela za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui tuwafuate Dodoma kwa mabango na waandishi wa habari. Au mpaka tuvae mashati ya kijani ndio mtatuheshimuWewe utakuwa mtu wa sita nasikia wanasumbua kutoa hela za watu
Ewe CCM yetu amka utusaidie tunateswa na watendaji wa serikali wanao zembea !Hii kweli kuna jamaa yangu anasumbuka sana na hawa watu kila siku njoo week ijayo yaani ni balaa sana, ccm imeharibu sana hii nchi
HAPA JF Kuna Thread Nyingi Sana Halafu Huo Mfuko Pesa Siyo ZaoWewe utakuwa mtu wa sita nasikia wanasumbua kutoa hela za watu
Hata Mimi madhila hayo yalinitesa, hivyo hapo PSSSF Pana tatizo Tena ni KUBWA.Ninayoheshima na unyenuekevu mkubwa kukuomba mh. Rais mama Samia Suluhu utusaidie kumuondoe bwn. Abdu-Razak Badru ambaye ndio mkurugenzi wa PSSSF.
Kwanyakati tofauti binafsi nimekua nikipiga sana simu ofisini kuulizia mafao yangu kama mnufaika na simu zinapokelewa lakini majibu wanayotoa niyauongo. Yaani hiyo ofisi ahadi zake nikama vile umepeleka maombi ya kukopeshwa hela na sio haki yako
Ndio akiondolewa akiletwa kiongozi anayewajibika tatizo litaishaUlikuwa unawasiliana naye au service desk ya PSSSF ?
Akiondolewa tatizo litaisha?
Sasa unawezaje kumtofautisha mkurugenzi na service desk? Yeye na vilivyomo hapo ofisini vyote vipo chini yake. Mpaka hela hata zetu Sasa anajifanya anazimiliki yeye badala ya kuzisimamiaUlikuwa unawasiliana naye au service desk ya PSSSF ?
Akiondolewa tatizo litaisha?
Hiyo ni milolongo yao. Sasa baada ya hapo unafuata utapeli Sasa na usumbufu.Mkurugenzi ni mhaya wa ibwera bukoba vijijini Mtu poa sana. Tatizo litakuwa idara ya Complieance maana ndo wanausika kuandaa mafaile ya wanachama wanaostafu katika kila wiki usika kisha uyapekua na kuangalia kama attachement zote zimekamilika ikiwa ni pamoja na kuhakiki akaunti namba ya muhusika. Barua ya kuwaombea Malipo uandikwa kwa mkurungenzi. Baada ya kupitishwa file upelekwa kwenye chumba cha wahasibu kwa ajili ya Malipo. Vocha uandikwa moja kwa wastaafu wanaotoka kwa pamoja ndani ya wiki moja na cheque uandikwa moja ikiambatanishwa na paylist ya wastaafu na kiasi cha malipo kwa kila mstaafu na akaunti namba zao kisha upelekwa benki kwa ajili ya malipo so kamlolongo kapo japo haitakiwi kuzidi wiki tatu baada ya tarehee ya kustaafu kuwa imefika.