Mkurugenzi PSSSF kikaangoni kwa kujikopesha fedha ya kujinunulia gari

Hapa napoandika nimecheki statement yangu huko pssf haijawekwa makato kwa mwaka na nusu bila shaka sehemu ya hizo pesa ndio huyo mshenzi amejikopesha.

Akikitwa na hatia afukuzwe Kazi haraka Sana na kufilisiwa.

Kuna Wazee 2 hadi sasa wamestaafu toka June hawajalipwa mafao.
 
Unachekije mzee
 
Unachekije mzee
Kuna li apple lao ila kwa mara ya mwisho nimelitumia lilikiwa linazingua by the way nenda kwenye ofisi zao wataku request check namba then wata print statement watakupa na utaona..

Mind you kama kuna missing of Any mchango hautakaa upewe mafao hadi hilo gap lizibwe..
 
Haya mafisi sana, halafu bado yanawabania wastaafu wapewe %33 ya mafao yao,kumbe yenyewe yanacheza michezo michafu ya kukopeshana,kwanini wasiende benki?
 
Umeandika vizuri ila umeharibu uliposema tufuate nyayo za Kenya. Hao watu pamoja na katiba mpya ila wanaendelea na upigaji kama kawaida. Ukifuatilia kashfa za ufisadi Kenya utaweza sema hawa mafisadi wetu ni walokole.
 
Kula kwa urefu wa kamba yako
 
Hii nchi inahitaji elimu elimu elimu
 
Sidhan kama perpespective yako ni sahih.katiba sasa inahusikaje? Hapo ni kusema pssspf wabadili mifumo yao.kukopesha kupitie hazina na si mifuko moja kwa moja hii itasaidia kuto temper na hela.
 
Kama kakopa na anarejesha kwa wakati na sahii kwa nini anyongwe? Na wakati hajaiba
Ndio mana nikasema kama ana hatia, endapo kama hajakutwa na hatia na amefuata utaratibu hastahili adhabu.
 
Shida hakuna chama mbadala
 
Sheria zetu zinasema mtu anyongwe kwa issue kama hii?

Ipo siku yaweza kuwa mwanao
Ni vizuri kuweka adhabu kali ili asitokee kiumbe yeyote kujaribu kukiuka taratibu.

Mwanangu akiwa mwizi mwizi na mkora natoa baraka zote anyongwe maana hana faida yeyote siwezi mtetea mwizi hata kama ni damu yangu.

Hapo vipi😬
 
Ni vizuri kuweka adhabu kali ili asitokee kiumbe yeyote kujaribu kukiuka taratibu.

Mwanangu akiwa mwizi mwizi na mkora natoa baraka zote anyongwe maana hana faida yeyote siwezi mtetea mwizi hata kama ni damu yangu.

Hapo vipi😬
Be careful what u wish for..
 
Itoshe kusema nchi hii imejaa wapumbavu na 95% ya watanznia ni wapumbavu.

Huwa najiuliza ni madudu mangapi yanafanyika ya hatari na hakuna anaeijali hatma ya nchi hii, sisi sote ni wapumbavu tunashindwaje kuifurumusha hii CCM!!

Nyerere sjui alitufanyiaga nn maana watanzania hawajali kabisa kuhusu nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…