Mkurugenzi TRC Kadogosa njoo JamiiForums ujibu tuhuma za kinachoendelea kwenye treni ya SGR

Kama shida ni pombe hadi wasiluhusu chupa1 ya maji, najiuliza kwahiyo h treni haina bar? Na kama haina bar Sasa ikiloga kama inavologaga ile mida yake abilia tutapunguz vp ukal wa safar?
 
Naona kitendo cha kuziwa kuingia na kopo la maji la mil. 500 kimekukera mpka leo kipo kichwani πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚
 
Kuna watu wapo sensitive sana na maji pamoja na chakula kwa ujumla. Najiuliza, hayo maji yanayouzwa ndani hakuna namna wahuni wakawa wanauza maji feki mwisho wa siku watu wakaugua matumbo? Wabongo tunajuana! Pesa mbele kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…