Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Tren ya tazara pombe km zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine. Kwa hiyo tukiwa nyumbani TRC ndo wanatutumia vifurushi vya chakula? Hoja zingine banaKama vyakula vya nyumbani si salama, hao abiria wanawapata toka wapi? Au ni wafu!
Embu tueleze hawa wenye akili ni akina nani ?Waliwahi kua na akili wapi?
Naona kitendo cha kuziwa kuingia na kopo la maji la mil. 500 kimekukera mpka leo kipo kichwani 😊😊😂Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni.
Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine.
Tanzania Railways Corp
NawashangaaWatanzania tubadilike,huo ni utaratibu ufuatwe,mbona kwenye ndege hamlalamiki...
2- 3 years maximumWameajiri Wahudumu vibaka na Malaya, SGR utekelezaji wake ni hovyo lifespan yake 1-10years maximum hovyo
Kuna watu wapo sensitive sana na maji pamoja na chakula kwa ujumla. Najiuliza, hayo maji yanayouzwa ndani hakuna namna wahuni wakawa wanauza maji feki mwisho wa siku watu wakaugua matumbo? Wabongo tunajuana! Pesa mbele kwanza!Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni.
Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine.
Tanzania Railways Corp
Si sheria ziwekwe tuu, hata hao wanabeba konyagi ziwabaneAnanunua maji anakunywa nusu then anajaza konyagi ndogo, TRC wapo sahihi kwa hilo hata mimi shahidi
Je unadhani kila mtu anakula vitu visivyojulikana?Tatizo haujawahi kupanda treni, ndani ya treni imo hoteli na baa.
Ukimsoma kwa umakini utajua ni wale wanaotafuta kasoro ili aponde. Inawezekana ndio wale wanaotumiwa na wenye mabasi.Naona kitendo cha kuziwa kuingia na kopo la maji la mil. 500 kimekukera mpka leo kipo kichwani 😊😊😂
Umekiri wagawa na siyo wanaigia nazoKama kwenye ndege za International pombe wanagawa Treni kuna shida gani
Wasimamizi wa sheria ndiyo wanywaji kupita kiasiSi sheria ziwekwe tuu, hata hao wanabeba konyagi ziwabane