Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani treni ndiyo ndege, mtanzania ukimwambia avue viatu anapoingia ndani ya ndege atakuelewa kwa sababu ya mazoea ya uswazi.Kwani utaratibu umewekwa kwa ajili ya Kadogosa? Kila mtu aliye na maslahi na treni hiyo kwa vyovyote inabidi aunge mkono hatua zozote zitakazotolewa kwa lengo la kuutunza mradi huo. Kwanza SGR ikienda na utaratibu huu itakuwa ni zoezi zuri kwa wanaotarajia kupanda ndege especially kwa safari za nje ya nchi, maana kuna watu wakiambiwa kimiminika au fluid kinachozidi container ya mililita 100 hairuhusiwi kwenye ndege, huwa hawaelewi logic yake. Sasa walazimishwe kuzoea, sababu watazijua wakizitafuta
Hata kuweka pombe ndani ya chupa ya maji si tatizo, unywaji wa pombe ndani ya treni ni halali vinginevyo wasingeweka baa ndani ya treni.Leo umeamkaje ndugu?.
Kwani chakula cha nje na maji ya nje yana tofauti gani?.
Nanunua chupa ya maji na cake hapo dukani la stesheni, vitu hivyo hovyo ndivyo vinauzwa humo ndani ya treni tofauti yake nini kwenye usalama?.
Nadhani hiyo siyo logic, ungesimama na issue ya watu kuweka pombe kwenye chupa sawa ila siyo hicho ulichoandika NO!.
Athari za kuteua watu wasiokua compitent kusimamia taasisi compitent.Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni.
Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine.
Tanzania Railways Corp
Mule ndani konyagi si zipoDah, sasa mkuu kuingia na Konyagi ni kosa tena. Huo ni usafiri wa kawaida tu sema tuna ulimbukeni tu. Niliona treni moja huko Japan (SGR), kuna route yake moja wakulima na wafugaji wanaingia na mbuzi, kondoo, maparachichi, kuku nk.
Kila sehemu lazima kuwe na utaratibu, huwezi kwenda nyumbani kwa mtu ukabeba vinywaji vyakoMbona wao wanauza beer mle?
Ishu ni kuwa wanataka wauze pombe zao.
Sijui waliwaza nini?Kwenye kuzuia maji wamedhihirisha ujinga wa kiwango cha lami. Ipo siku watazuia hata vidonge kwa wagonjwa.
Different contexts, anyway, let's keep the order.Kila sehemu lazima kuwe na utaratibu, huwezi kwenda nyumbani kwa mtu ukabeba vinywaji vyako
Kumbe SGR ni ya Kadogosa! Itabidi nasi watanzania tujenge yetu itakayokidhi matarajio yetu. Hakika chawa ni wadudu wabaya sana.Kila sehemu lazima kuwe na utaratibu, huwezi kwenda nyumbani kwa mtu ukabeba vinywaji vyako
Sasa kila mtu akija na kinywaji chake vile vya kwenye treni nani atanunua?.Hata kuweka pombe ndani ya chupa ya maji si tatizo, unywaji wa pombe ndani ya treni ni halali vinginevyo wasingeweka baa ndani ya treni.
Vinatakiwa abiria wapewe bure kama wafanyavyo wenye mabasi.Sasa kila mtu akija na kinywaji chake vile vya kwenye treni nani atanunua?.
Mkuu unataka watu wapande na mbuzi?Kumbe SGR ni ya Kadogosa! Itabidi nasi watanzania tujenge yetu itakayokidhi matarajio yetu. Hakika chawa ni wadudu wabaya sana.
Kwanini usinunue humo ndani mkuu?Different contexts, anyway, let's keep the order.
Kwahiyo unataka waweke nazi nzima kwenye ubwabwa bila kuikuna!Mkuu unataka watu wapande na mbuzi?
Unauhakika kuwa ndani ya treni watakuwemo wamachinga wanaouza maji!Kwanini usinunue humo ndani mkuu?
Nigger, I thought we closed this discussion by my appeal to keeping the order. Did you catch my drift?Kwanini usinunue humo ndani mkuu?
Kwa wanao safiri na treni hiyo kuna zaidi ya hayo uliyoyasikia.Nigger, I thought we closed this discussion by my appeal to keeping the order. Did you catch my drift?
Hatari snKwahiyo unataka waweke nazi nzima kwenye ubwabwa bila kuikuna!
I travel alot na hiyo train. Nimepanda among the first three trips. Hapa nilipo nna ticket ya go and return nishajikatia online.Kwa wanao safiri na treni hiyo kuna zaidi ya hayo uliyoyasikia.