Mkurugenzi TRC Kadogosa njoo JamiiForums ujibu tuhuma za kinachoendelea kwenye treni ya SGR

Mkurugenzi TRC Kadogosa njoo JamiiForums ujibu tuhuma za kinachoendelea kwenye treni ya SGR

I travel alot na hiyo train. Nimepanda among the first three trips. Hapa nilipo nna ticket ya go and return nishajikatia online.
Unajua kuwa pamoja na kasi inayotembea sijakuta mikanda ya usalama! Unaweza ukafafanua faida ya hili.
 
Kwenye kuzuia maji wamedhihirisha ujinga wa kiwango cha lami. Ipo siku watazuia hata vidonge kwa wagonjwa.

Lengo ni kuzuia vilevi, wengne wanaweka kvant au konyagi au vile vikali vya elf 2 ktk chupa za maji. Ukipanda uko mzma wkt wa kushuka unakuwa hoi na kuaanza kuharibu vitu vya kwenye treni
 
Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni.

Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine.

Tanzania Railways Corp
Kwa ufupi mkuu serikali ina majitu ya hovyo hovyo sana!
 
Unajua kuwa pamoja na kasi inayotembea sijakuta mikanda ya usalama! Unaweza ukafafanua faida ya hili.
Nadhani waliounda wanajua zaidi. Train haisimami ghafla kama gari. Wala haina mtikisiko wa kukutoa kitini kama ndege. Train ni tulivu sana.
 
Nafikiri ifike mahala tukubali mabadiliko
Labda niwasaidie tu; Kimsingi ile treni unatakiwa uingie na begi la wastani (pengine kilo kilo 15) na ukubwa wa wastani unaotosha kuingia kwenye keria ya ndani (ile ya juu ya viti vya abiria).

Labda kuweko kumbukumbu sawasawa; sio vibebeo vya shangazi kaja peke yake vinavyozuiliwa; hata mabegi makubwa sana, kimsingi hayaruhusi kwa kuwa hayataweza kuingia kwa usahihi pale kwenye karia ya ndani na hii ni kwa kuwa, treni haina sehemu ya chini ya kuweka mabegi kama lilivyo mabasi ambapo mabegi makubwa yanawekwa chini.

Kuhusu maji, kama unaweza kuyanunua huko nje kwa shs 1000 kwa lita na ndani ya treni yanauzwa shs 1000 kwa lita hivyo sioni kama ni mjadala ni sula la la kukubali tu mabadiliko.
Wale waliosaafairi kwa vipando tofauti tofauti wanajua kuwa, huo ni utaratibu wa kawaida kabisa

Mfano; Hapa Nchini kuna vindege vidogo vidogo vya abiria zaidi ya 30 na vinafanya safari za ndani kila siku; hebu jaribu kusoma mashari ya kusafiri navyo?
 
Nadhani waliounda wanajua zaidi. Train haisimami ghafla kama gari. Wala haina mtikisiko wa kukutoa kitini kama ndege. Train ni tulivu sana.
Nakushauri kaipande kati ya Dar na Moro kisha uje hapa utueleze mwendo uko vipi. Hata hivyo kianda ni ya lazima kwenye gari linachokwenda kasi.
 
Nakushauri kaipande kati ya Dar na Moro kisha uje hapa utueleze mwendo uko vipi. Hata hivyo kianda ni ya lazima kwenye gari linachokwenda kasi.
Unanishauri?
Huko juu nimekwambia I travel alot na hiyo train.
Haya ticket hiyo hapo nipo kwenye train sasa hivi.
 
Attachments

  • IMG_20240928_160113.jpg
    IMG_20240928_160113.jpg
    43.7 KB · Views: 2
Unanishauri?
Huko juu nimekwambia I travel alot na hiyo train.
Haya ticket hiyo hapo nipo kwenye train sasa hivi.
Uwe mkweli, treni itakapoondoka fuatilia sana mwenendo wa behewa na sauti za magurudumu kwenye baadhi ya maeneo ukianzia Morogoro.
 
Uwe mkweli, treni itakapoondoka fuatilia sana mwenendo wa behewa na sauti za magurudumu kwenye baadhi ya maeneo ukianzia Morogoro.
Nimegundua kitu kipya katika train. Siku hizi inapiga kelele sana kwichi kwichi utasema scania bovu.

Kuhusu mkanda bado sioni haja sana. Sababu train haitarajiwi kusimama ghafla ambapo inaweza kuleta madhara. Unajua hata kwenye ndege abiria hushauriwa kufunga mkanda ndege inapotaka kupaa na inapotaka kutua tu. Ukishakuwa angani unaweza hata kucheza mpira bila shida.

That is my take.
 
Nilipokuambia uisikilize kwa makini nilitaka usikie msuguano wa vyuma unaotokea kwenye baadhi ya maeneo ambayo behewa huinama kidogo. Hilo la mikanda si muhimu kwenye treni na haitumiki.
 
Back
Top Bottom