Mkurugenzi Ubungo unayajua ya Shule ya Upendo

Hii shule ya Upendo ina mambo ya ajabu sana, walimu wanalazimisha watoto wa madarasa yote wasome tuition kwa lazima tena wanawakagua hela walizopewa za kutumia wanachukua wanafundishia tution, kwa lazima.

Pia wanalazimisha watoto wakafanye mitihani jumamosi lengo ni wao wapate hela na wasipoenda mwalimu mkuu kwa kushirikiana na walimu wenzake wanawachapa watoto.

Basi hiyo mitihani ingekuwa na tija basi kila siku maswali ni ya kujirudia na yanasahihishwa na wanafunzi wenzao unakuta mtoto kapata ila ukisoma mtihani ni makosa matupu au kakosa na huku kapata yaani tabu sana.

Wana tamaa ya hela sana hao walimu na wanaamua mambo bila kuwashirikisha wazazi kifupi hiyo shule inatakiwa kuchunguzwa sana ina mambo mengi ya ajabu sana.
 
Kuna mwalimu Kinondoni alikua anaeafanyia watoto ukatili. Watu walipopaza sauti wengine kama wewe walisema ni fitna. Baadae yeye mwenyewe alikiri kwamba alikua anawalazimisha watoto wanyonye sehemu zake za Siri.
Imagine Leo ugundue kwamba binti yako analazimishwa kumnyonya mtu dish wewe mwenyewe hapo hujawahi kunyonywa hata na MTU mzima. Utajisikiaje?
 
Sina uhakika kama Godi hana cheti cha fomfo. Ualimu ni kipaji mtu yeyote anaeza kuwa mwalimu hasa kumfundisha mtoto wa shule ya msingi ni rahisi mno.

Ungesema GODI achunguzwe ili kubaini je kuna usalama wowote na je GODI ni msaada kwa watoto.?

Usimfanyie fitini huez jua ndo kazi inayomueka mjini GODI pia ajira ni ngumu. mkuu

#Paubae
 
Naona unajijibu hongera
 
Duu kwanini hujaenda kuripoti polisi au ofisini Kwa mkurugenzi Moja Kwa Moja acha Roho ya kwanini kisa God kapata.
 
Duu umasikini mbaya sana walimu wanagombea vimia mia vya tuition
 
Lakini msingi wa malalamiko yako ni vihela vya tuition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…