Mkurugenzi Ubungo unayajua ya Shule ya Upendo

Mkurugenzi Ubungo unayajua ya Shule ya Upendo

Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Snitch

Hutakuta mwamba hafanyi hayo umeamua kuja kumchafua huku kisa anakuibia wanafunzi

Ulishindwa vipi kwenda polisi
 
Ndugu mkurugenzi manispaa ya Ubungo. Dar es Salaam.

Mwalimu mkuu wa shule ya Upendo katika manispaa yako, licha ya kuwa na waalimu wenye sifa na waliohakikiwa hivi majuzi, amemleta kijana wake aitwaye Godi ili awafunfishe (tuition) watoto wa darasa la Saba kwa malipo ya ziada.

Sina tatizo na Hilo. Tatizo ni kwamba Godi Hana taaluma ya ualimu, hajapitia chuo chochote istoshe Godi Hana hata cheti Cha kidato Cha nne.

Kinachotia kichefuchefu ni kwamba Godi hua anatembea na baadhi ya watoto wa kike wa darasa la Saba. Hua anawapima kwa kuwashika maziwa.

Akiona mlengwa hashtuki akiguswa maziwa Basi humhadaa na kwenda naye chooni. Tunakuomba uwaokoe Hawa watoto wasio na hatia.

Simu moja tu kwa mwalimu yoyote wa darasa la Saba utaupata kwa kina uchafu wa Godi na Masijita.
Hivi Kwa akili yako chooni ni mahali sahihi au panakofaa! Choo hizi za kulenga?? Kwa Tamaa gani hiyo?
Mleta uzi unatakiwa kuanza kuhojiwa wewe?!
 
Back
Top Bottom