DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS 36.3 Bilion na Kampuni ya Sinohdro Engineering ya china bila zabuni kutangazwa , Mkataba Ulisainiwa Tarehee 7.7.2022 kisiri bila kushuudiwa na Bodi ya AUWSA, Meneja Mradi Eng Mkawe na Menejimenti ya AUWSA kama utaratibu unavyotaka

Eng Rujomba hakupata Ridhaa ya Tender Board ya AUWSA kusaini Mkataba na wafadhili wa Mradi mkubwa wa Maji.

Arusha Bank ya Maendeleo ya Afrika ( AFDB) ilishatoa maelekezo kwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji AUWSA kuwa.

Wasitumie mfumo
Wa single source bali zabuni itangazwe apatikane
Mkandarasi mwenye uwezo lakini Eng Rujomba amekaidi kwa madai kuwa Kuna 10% ya kwake na Viongozi wa Wizara ya Maji.

PPRA Mwezi Novemba 2021 walitoa maelekezo zabuni zote zenye thamani inayozidi 5Milion itangazwe kupitia TANEPS ,

Hata hivyo, Bank ya maendeleo Afrika ( AFDB) wamegoma kutoa kibali ( No Objection ) ya kusaini Mkataba bila zabuni kutangazwa,

Maswali ya Msingi kwa nini zabuni haikutangazwa? Engineer Rujomba ametumia vigezo gani kuipatia zabuni kampuni ya sinohydro mkataba wenye Fedha nyingi kiasi hiki thamani ya TZS 36.3 bilion ?Kwanini mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Wajumbe wa bodi ya AUWSA? kwanini Mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Meneja wa Mradi na Menejimenti ya AUWSA? Kwanini mradi umesainiwa kisiri? Kwanini ENG Rujomba amekaidi
Maelekezo ya wafadhili Bank ya AFDB,

Ufisadi huu unafanyika AUWSA katika kipindi cha miezi Mitatau baada ya Kuvunjwa kwa Mkataba wa kifisadi wa Tzs 2.5 Bilion wa Ujenzi wa mfumo wa uondoaji Majitaka wa A to Z. Cha kushangaza walioshiriki kusaini huu mktaba wapo huru wanatamba kuiweka PCCB na wizara ya Maji mfukoni.

Waziri Mkuu , DG wa TAKuKuRu na CAG fanyeni uchunguzi wa mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wa AUWSA na Sinohydro muokoe hizi pesa za wananchi maana mwisho wa siku watakaoumia ni wananchi amba ni walipa kodi na wahusika walioshiriki kusaini huu mkataba wachukuliwe hatua za kisheria.
Shamba la bwana heri,na ngombe wa bwana heri!!watu Wana kula kwa urefu wa kamba!!
Pesa tamu jamani,ukizicheki hizo billions,harafu ukajua kabisa,ukicheza kama Pele hapa,ukosi milioni 50+!!lazima utajilipua,maana kichwani unakuwa unaona Vogue lileee!!apartments zangu zileeee!!unaona kampuni yako ya logistic ileeee???!!!
Nchi hii ni tamu na chungu,inategemea upo wapi,
 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS 36.3 Bilion na Kampuni ya Sinohdro Engineering ya china bila zabuni kutangazwa , Mkataba Ulisainiwa Tarehee 7.7.2022 kisiri bila kushuudiwa na Bodi ya AUWSA, Meneja Mradi Eng Mkawe na Menejimenti ya AUWSA kama utaratibu unavyotaka

Eng Rujomba hakupata Ridhaa ya Tender Board ya AUWSA kusaini Mkataba na wafadhili wa Mradi mkubwa wa Maji.

Arusha Bank ya Maendeleo ya Afrika ( AFDB) ilishatoa maelekezo kwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji AUWSA kuwa.

Wasitumie mfumo
Wa single source bali zabuni itangazwe apatikane
Mkandarasi mwenye uwezo lakini Eng Rujomba amekaidi kwa madai kuwa Kuna 10% ya kwake na Viongozi wa Wizara ya Maji.

PPRA Mwezi Novemba 2021 walitoa maelekezo zabuni zote zenye thamani inayozidi 5Milion itangazwe kupitia TANEPS ,

Hata hivyo, Bank ya maendeleo Afrika ( AFDB) wamegoma kutoa kibali ( No Objection ) ya kusaini Mkataba bila zabuni kutangazwa,

Maswali ya Msingi kwa nini zabuni haikutangazwa? Engineer Rujomba ametumia vigezo gani kuipatia zabuni kampuni ya sinohydro mkataba wenye Fedha nyingi kiasi hiki thamani ya TZS 36.3 bilion ?Kwanini mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Wajumbe wa bodi ya AUWSA? kwanini Mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Meneja wa Mradi na Menejimenti ya AUWSA? Kwanini mradi umesainiwa kisiri? Kwanini ENG Rujomba amekaidi
Maelekezo ya wafadhili Bank ya AFDB,

Ufisadi huu unafanyika AUWSA katika kipindi cha miezi Mitatau baada ya Kuvunjwa kwa Mkataba wa kifisadi wa Tzs 2.5 Bilion wa Ujenzi wa mfumo wa uondoaji Majitaka wa A to Z. Cha kushangaza walioshiriki kusaini huu mktaba wapo huru wanatamba kuiweka PCCB na wizara ya Maji mfukoni.

Waziri Mkuu , DG wa TAKuKuRu na CAG fanyeni uchunguzi wa mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wa AUWSA na Sinohydro muokoe hizi pesa za wananchi maana mwisho wa siku watakaoumia ni wananchi amba ni walipa kodi na wahusika walioshiriki kusaini huu mkataba wachukuliwe hatua za kisheria.
Mkuu Moshi town, thanks for this, it's a good whistle blowing article. Huu ndio uzalendo wa kweli kwa nchi yako!.
P
 
Yani hao jamaa waya zishatembea na msainishaji amefanya hilo kwa kujiamini kwamba wanaipiga hio 16B iliozidi hapo. Sijajua kwenye mgao itakuwaje ila kuanzia waziri hadi huyo mkurugenzi wanakula share ya zaidi ya billion kila mmoja wao.
Hii inaenda kwa kwa Waziri wa fedha mkuu kila mtu analamba
 
Kama ni kweli basi atakuwa na cover inayomlinda la sivyo angekuwa anachungulia kwenye dirisha dogo
 
Dili ya hela ndefu huwezi kula mwenyewe. Hio ni chain ya wahuni 😂😂😂 yani hapo hafungwi mtu. Kwa huo mzigo mahakama gani itakufunga hapa nchini? Jaji akilamba 500m tu wote mnapeta uraiani!
 
Yani hao jamaa waya zishatembea na msainishaji amefanya hilo kwa kujiamini kwamba wanaipiga hio 16B iliozidi hapo. Sijajua kwenye mgao itakuwaje ila kuanzia waziri hadi huyo mkurugenzi wanakula share ya zaidi ya billion kila mmoja wao.
Ni Genge la viongozi wengi wapigaji kuanzia Waziri wa
maji Aweso, KM wa
maji Eng Sanga Mkurugenzi wa Maji Mjini Mama Msiri, Kamanda wa PCCB Mkoa Ruta, Mwakilishi wa AFDB Tanzania anayesimamia Miradi ya Maji Eng Rwetabula
 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS 36.3 Bilion na Kampuni ya Sinohdro Engineering ya china bila zabuni kutangazwa , Mkataba Ulisainiwa Tarehee 7.7.2022 kisiri bila kushuudiwa na Bodi ya AUWSA, Meneja Mradi Eng Mkawe na Menejimenti ya AUWSA kama utaratibu unavyotaka

Eng Rujomba hakupata Ridhaa ya Tender Board ya AUWSA kusaini Mkataba na wafadhili wa Mradi mkubwa wa Maji.

Arusha Bank ya Maendeleo ya Afrika ( AFDB) ilishatoa maelekezo kwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji AUWSA kuwa.

Wasitumie mfumo
Wa single source bali zabuni itangazwe apatikane
Mkandarasi mwenye uwezo lakini Eng Rujomba amekaidi kwa madai kuwa Kuna 10% ya kwake na Viongozi wa Wizara ya Maji.

PPRA Mwezi Novemba 2021 walitoa maelekezo zabuni zote zenye thamani inayozidi 5Milion itangazwe kupitia TANEPS ,

Hata hivyo, Bank ya maendeleo Afrika ( AFDB) wamegoma kutoa kibali ( No Objection ) ya kusaini Mkataba bila zabuni kutangazwa,

Maswali ya Msingi kwa nini zabuni haikutangazwa? Engineer Rujomba ametumia vigezo gani kuipatia zabuni kampuni ya sinohydro mkataba wenye Fedha nyingi kiasi hiki thamani ya TZS 36.3 bilion ?Kwanini mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Wajumbe wa bodi ya AUWSA? kwanini Mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Meneja wa Mradi na Menejimenti ya AUWSA? Kwanini mradi umesainiwa kisiri? Kwanini ENG Rujomba amekaidi
Maelekezo ya wafadhili Bank ya AFDB,

Ufisadi huu unafanyika AUWSA katika kipindi cha miezi Mitatau baada ya Kuvunjwa kwa Mkataba wa kifisadi wa Tzs 2.5 Bilion wa Ujenzi wa mfumo wa uondoaji Majitaka wa A to Z. Cha kushangaza walioshiriki kusaini huu mktaba wapo huru wanatamba kuiweka PCCB na wizara ya Maji mfukoni.

Waziri Mkuu , DG wa TAKuKuRu na CAG fanyeni uchunguzi wa mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wa AUWSA na Sinohydro muokoe hizi pesa za wananchi maana mwisho wa siku watakaoumia ni wananchi amba ni walipa kodi na wahusika walioshiriki kusaini huu mkataba wachukuliwe hatua za kisheria.
Majungu
 
Organized Crime ndio inayolitesa hili taifa kwa sasa. Inauma sana ikiwa kuna watu hata kula yao ni ya tabu wengine kufia reception kwa kukosa huduma halafu unaskia taarifa kama hizi kuwa kuna wana wamepiga billions na wamegawana
 
Kuna upotofu mkubwa wa hili jambo, siwezi kuelezea yote ila mtoa mada hajui mikataba hii mikubwa sii sawa na miradi ya mamlaka ya maji. International tender na tender docs ni tofauti.
 
Itakuwa wewe ndiyo haujui Sheria ya mikataba Kimataifa.

Sheria ya Mikataba ya kimataifa inaelekeza Zabuni kutangazwa ili apatikane Mshindi halali,

Zabuni ya Construction of water blending system for FLOURIDE reduction aikutangazwa na Mkandarasi kampuni ya China Sinohydro wamepatiwa zabuni bila kupitishwa na Bodi ya Zabuni ya AUWSA ( AUWSA Tender Board) ,

Sheria ya zabuni inaitaji kabla ya Mkandarasi kusaini Mkataba unaozidi 1 Bilion Mkataba uende kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya Veting hii aikufanyika , Mkataba umeandaliwa na Mchina Eng Rujomba akasaini bila hata ya kupata Ushauri wa Wanasheria wa AUWSA Advocate Sabas na Namayani, Kwa Lugha Raisi Mkataba umesainiwa bila kufanyiwa Vetting na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Mkataba Umesainiwa bila kupata No Objection kutoka AFDB, Sheria inaitaji kabla ya Mkataba Kusainiwa PE ( AUWSA) itume taarifa ( Evaluation report) kwenda wa Donor ( AFDB) kumfaamisha Mchakato umefanyika kwa kufuata Procedure zote za Tender kwa maama Tender Imetangazwa, Evaluation team wamepitia na Tender Board imekaa na Kuridhia, Haya yote ayakufanyika na hadi leo AFDB wamegoma kutoa barua ya No Objection..

Mkataba umesainiwa kisiri Siku ya
Ambayo siyo ya kazi Tarehee 7 Julai
2022 Lengo ikiwa ni isigundulike.. Sheria
Inataka mikataba isainiwe siku ya kazi na kwa uwazi and not otherwise.

Mkataba umesainiwa bila kushuudiwa na Wajumbe wa Bodi ya AUWSA

Mkataba Umesainiwa bila kushuudiwa na Management

Gharama za Ujenzi umeongezeka kutoka 20 bilion hadi 36 bilion kuna ongezeko la 16 bilion.. Mkandarasi Mshauri ( Consultancy) kampuni ya Cheil consultancy iliandaa BOQ ya Ujenzi wa Mradi iwe Tzs 20 bilion Engineer Rujomba amesaidi Tzs 36 bilion.

Project Manager Eng Mkawe Akushirikishwa katika Process ya kumtafuta Mkandarasi hii ni hatari inakuwaje MD na HPMU wanafanya Proces ya Kumtafuta Mkandarasi na kusaini Mkataba Project Manager hana taarifa?

Huu Mkataba ni kama Richmond , Mwaka 2008 Karamagi alisaini mkataba kisiri na kampuni ya Richmond Siku ya Public Holiday Nje ya Nchi.
 
Kuanza kukuelimisha humu ndani ni shida haya endelea na mapambano yako yasiyo na mashiko unapoteza muda kwa kutokujua contract. Jua tu sio contract zote zinatawaliwa na PPRA na specifications zake.
 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS 36.3 Bilion na Kampuni ya Sinohdro Engineering ya china bila zabuni kutangazwa , Mkataba Ulisainiwa Tarehee 7.7.2022 kisiri bila kushuudiwa na Bodi ya AUWSA, Meneja Mradi Eng Mkawe na Menejimenti ya AUWSA kama utaratibu unavyotaka

Eng Rujomba hakupata Ridhaa ya Tender Board ya AUWSA kusaini Mkataba na wafadhili wa Mradi mkubwa wa Maji.

Arusha Bank ya Maendeleo ya Afrika ( AFDB) ilishatoa maelekezo kwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji AUWSA kuwa.

Wasitumie mfumo
Wa single source bali zabuni itangazwe apatikane
Mkandarasi mwenye uwezo lakini Eng Rujomba amekaidi kwa madai kuwa Kuna 10% ya kwake na Viongozi wa Wizara ya Maji.

PPRA Mwezi Novemba 2021 walitoa maelekezo zabuni zote zenye thamani inayozidi 5Milion itangazwe kupitia TANEPS ,

Hata hivyo, Bank ya maendeleo Afrika ( AFDB) wamegoma kutoa kibali ( No Objection ) ya kusaini Mkataba bila zabuni kutangazwa,

Maswali ya Msingi kwa nini zabuni haikutangazwa? Engineer Rujomba ametumia vigezo gani kuipatia zabuni kampuni ya sinohydro mkataba wenye Fedha nyingi kiasi hiki thamani ya TZS 36.3 bilion ?Kwanini mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Wajumbe wa bodi ya AUWSA? kwanini Mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Meneja wa Mradi na Menejimenti ya AUWSA? Kwanini mradi umesainiwa kisiri? Kwanini ENG Rujomba amekaidi
Maelekezo ya wafadhili Bank ya AFDB,

Ufisadi huu unafanyika AUWSA katika kipindi cha miezi Mitatau baada ya Kuvunjwa kwa Mkataba wa kifisadi wa Tzs 2.5 Bilion wa Ujenzi wa mfumo wa uondoaji Majitaka wa A to Z. Cha kushangaza walioshiriki kusaini huu mktaba wapo huru wanatamba kuiweka PCCB na wizara ya Maji mfukoni.

Waziri Mkuu , DG wa TAKuKuRu na CAG fanyeni uchunguzi wa mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wa AUWSA na Sinohydro muokoe hizi pesa za wananchi maana mwisho wa siku watakaoumia ni wananchi amba ni walipa kodi na wahusika walioshiriki kusaini huu mkataba wachukuliwe hatua za kisheria.

Haiwezekani DG awe mzembe hivyo asaini mkataba wa Bil 38 bila bodi ya manunuzi kuidhinisha... Labda kuna kitu kipo nyuma ya pazia hujui
 
Issue kubwa hapa sio hizo management procedure ni uhalali wa mkataba husika accoding to the contract husika (AfDB/FIDIC contract documents je inaruhusu jambo hilo ( threshold = should be less or equal to 25% of the original contract) Je hili lilizingatiwa hayo mengine yote siasa na husuda tu.
 
Mradi wa Ujenzi wa New Water System ni tofauti kabisa na Construction of water blending system for FLOURIDE reduction

Kwa akili ya kawaida utampatiaje Mkandarasi wa New water System Kandarasi ya kujenga Construction of water blending system for FLOURIDE reduction kuwa ni Extension of Work?
 
Haiwezekani DG awe mzembe hivyo asaini mkataba wa Bil 38 bila bodi ya manunuzi kuidhinisha... Labda kuna kitu kipo nyuma ya pazia hujui
Nina uhakika 100% hii tender aikupita Tender Board na Mkataba umesainiwa bila Kibali kutoka kwa Mfadhili AFDB (No Objection)

Kuna Fisadi Mmoja yupo AFDB Ofisi ya Tanzanina anaitwa Eng Rutabula anawadanganya kuwa atasimamia kila kitu wapate No Objection . Huu ufisadi ni kama Richmond
 
Kuanza kukuelimisha humu ndani ni shida haya endelea na mapambano yako yasiyo na mashiko unapoteza muda kwa kutokujua contract. Jua tu sio contract zote zinatawaliwa na PPRA na specifications zake.
Tender ya Ujenzi wa ofisi za Kanda AUWSA ya Tzs 5 bilion ilitangazwa kwanini Tender ya 36 bilion aikutangazwa?

Zabuni ya Kujenga Vyoo vya kisasa vya Tzs 1.5 ilitangazwa kwanini tender ya TZs 36 bilion aikutangazwa?
 
Back
Top Bottom