Mkurugenzi wa Bandari alikuwa sikio la kufa lisilosikia dawa

Tryagain

Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
73
Reaction score
458
Rais alipomteua Eric Hamissi April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!

Mwezi Disemba 2021 Rais alivunja Bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia tena Mkurugenzi awaondoe watendaji wanaofanya hivyo na akitaka list atampatia yeye!

Sasa uvumilivu umemshinda Rais, kamuondoa Mkurugenzi mwenyewe!

==
Pia soma Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?
 
Hakuna vita ngumu duniani kama vita dhidi ya Rushwa ya Pesa.
Yaani karne hii watu wanaishi kutafuta pesa halafu wewe unapewa kazi ya kuwazuia.

Watu wako tayari kupoteza kazi, kupoteza mke, kupoteza watoto, kupoteza marafiki, kupoteza madaraka, kusaliti nchi ili tu apate pesa. Wengine wapo tayari kufa.
 
Huyo mkurugenzi atakuwa katoza ushuru wa forodha mizigo ya wenye chama, wenye nchi na wala mema ya nchi.

Mkurugenzi atakayedumu badarini kwa sasa lazima awe ni yule anayepitisha bure mizigo ya wenye nchi, wenye chama na wala mema ya nchi

Soma kilichoandikwa na ulichoandika. Msiwe mnatype wakati mnasikia haja kubwa haya nenda uani mbio.
 
Rais alipomteua Erick Hamis April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!

Mwezi Disemba 2021 Rais Alivunja bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia tena Mkurugenzi awaondoe watendaji wanaofanya hivyo na akitaka list atampatia yeye!

Sasa uvumilivu umemshinda Rais, kamuondoa Mkurugenzi mwenyewe!
Unao uhakika kamwondoa kwa sababu hiyo?

Tueleze zaidi nasi tupate ufahamu tusije kumlaumu rais, kumbe mkorofi ni Erick mwenyewe.
Tupe taarifa kamili.
 
Tiss wapo, PCCB wapo kwanini watu wanafeli? Mh. Rais tumia vyombo vyako vizuri kufanya uwekezaji Kuna vyombo vinakurubuni Sana nikushauri Mh. Vunja Tiss na PCCB then baada ya mwaka utaona changes kubwa IGA S.A & others utaona walifanikiwa kwa kufanya changes kwa kuvunja hizi Taasisi na kuunda upya naongea kwa uzoefu
 
Ushauri mzuri.
 
Rais alipomteua Erick Hamis April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!

Mwezi Disemba 2021 Rais Alivunja bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia tena Mkurugenzi awaondoe watendaji wanaofanya hivyo na akitaka list atampatia yeye!

Sasa uvumilivu umemshinda Rais, kamuondoa Mkurugenzi mwenyewe!
Na waliochezea mifumo wamebaki pale pale🤣🤣
 
Huyo mkurugenzi atakuwa katoza ushuru wa forodha mizigo ya wenye chama, wenye nchi na wala mema ya nchi.

Mkurugenzi atakayedumu badarini kwa sasa lazima awe ni yule anayepitisha bure mizigo ya wenye nchi, wenye chama na wala mema ya nchi
Inawezekana. Unatozaje watu wanaomlinda bosi wako ukasalimika?
 
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari inatakiwa ifumuliwe kuanzia chini, Kati Hadi juu. Hii approach ya kutumbua boss kubwa ilihali viwavi Jeshi wanaacha haijawahi na haitakuja kusaidia hata kama Rais akiihamishia Mamlaka hiyo ofisini kwake. Safisheni from the ground.
 
Huyo mkurugenzi atakuwa katoza ushuru wa forodha mizigo ya wenye chama, wenye nchi na wala mema ya nchi.

Mkurugenzi atakayedumu badarini kwa sasa lazima awe ni yule anayepitisha bure mizigo ya wenye nchi, wenye chama na wala mema ya nchi
Bandari inahusika vipi na utozaji ushuru wa forodha?
Hiyo ni kazi ya TRA - customs department
wharfage ndio mapato ya bandari
 
Rais alipomteua Erick Hamis April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!

Mwezi Disemba 2021 Rais Alivunja bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia tena Mkurugenzi awaondoe watendaji wanaofanya hivyo na akitaka list atampatia yeye!

Sasa uvumilivu umemshinda Rais, kamuondoa Mkurugenzi mwenyewe!
Watu hawataacha kupga maana ukikaa hata miez 5 unapga ela ya maisha yako yote halafu adhabu ni kusimamishwa jla mpunga unasepa nao.
Wangekuwa wanafirisiwa na kuwajibishwa wangeacha
 
Tatizo la pale bandarini ni asali mkuu. Sasa kukwepa asali inahitaji moyo wa ziada hawa wahindi na warabu koko wanajua sana kucheza na bandari. Nimeanzisha uzi kumshauri raisi aunde tume ya uendeshaji nadhani itapunguza Tatizo
Hangaya na ka[emoji3513] wote waongowaongo tu,yani wazee wa dili...tume ngapi zimeundwa zote lopolopo tu
 
Yaani bandari hii inataka kila sehemu iwe inajitegemea peke yake na bosi wake
Naona Bandari ni mzigo mkubwa kuiongoza maana ina ingiza mabilioni na kuna wakubwa wamo kwenye kula hapo na bidhaa ama zao au shared au ni marafiki wakubwa na wanaoingiza mizigo na wanawabeba

Bandari ina mambo haswa na hakuna wa kuiweza hata ukijifanya unajuwa utanyooshwa uwe kama wao penda usipende utacheza ngoma yao
Ndio hapo utaambiwa huna kazi kumbe umebanwa mahali
 
Back
Top Bottom