Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
...Changamoto inaanza ktk mfumo wa kuajiri; mtu anaomba kazi TRA/TPA lengo lake la kwanza ni KUPIGA PESA na siyo kuitumikia nchi. Nashauri sekta nyeti kama ya bandari waajiriwa wote kabla ya kuajiriwa wafanyiwe vetting juu ya uadilifu wao.
KUKOSEKANA KWA UADILIFU ndiyo adui namba moja
KUKOSEKANA KWA UADILIFU ndiyo adui namba moja