Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
75% through her observationsWe unafikiri Rais kajuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
75% through her observationsWe unafikiri Rais kajuaje?
75% through her observations
[/QUOT
Yaani yeye kama yeye anajifunga Kibwebwe.
Una macho 2 yeye anayo 5, una sensor 5 yeye 6 unashangaa nn mkuu?Yeye kama yeye?
Bandarini hata uteuliwe wewe nothing new, tatizo la bandari ni mfumo mbovu kuanzia juu kabisa kwa waneneRais alipomteua Eric Hamissi April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!
Mwezi Disemba 2021 Rais alivunja Bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia tena Mkurugenzi awaondoe watendaji wanaofanya hivyo na akitaka list atampatia yeye!
Sasa uvumilivu umemshinda Rais, kamuondoa Mkurugenzi mwenyewe!
Wauzaji wakubwa yupo naye kwenye mfumoTokea Samia amtoe Commissioner Siang'a kwenye kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya siamini tena tumbuatumbua za Samia
Hicho kitengo siku hizi kina kamata misokoto ya Bhangi na Mirungi tu.
Itakuwa ni maajabu ya karne kama DG wa TPA hafanyiwi vetting!!...Changamoto inaanza ktk mfumo wa kuajiri; mtu anaomba kazi TRA/TPA lengo lake la kwanza ni KUPIGA PESA na siyo kuitumikia nchi. Nashauri sekta nyeti kama ya bandari waajiriwa wote kabla ya kuajiriwa wafanyiwe vetting juu ya uadilifu wao.
KUKOSEKANA KWA UADILIFU ndiyo adui namba moja
DG anaweza kuwa mwadilifu ila wasaidizi wakawa chengaItakuwa ni maajabu ya karne kama DG wa TPA hafanyiwi vetting!!
Wakati wanaajiriwa wanakuwa waadilifu, baada ya kuajiriwa wanafanya kama wale waliowakuta. Sasa vetting ifanyike vipi?...Changamoto inaanza ktk mfumo wa kuajiri; mtu anaomba kazi TRA/TPA lengo lake la kwanza ni KUPIGA PESA na siyo kuitumikia nchi. Nashauri sekta nyeti kama ya bandari waajiriwa wote kabla ya kuajiriwa wafanyiwe vetting juu ya uadilifu wao.
KUKOSEKANA KWA UADILIFU ndiyo adui namba moja
Kweli, sikusikia kikwete akiitwa Baba.Haya ndio madhara ya kumuita Rais Mama.
Tiss haivunjwi kinyamela hivo kama unavo taka wewe.Tiss wapo, PCCB wapo kwanini watu wanafeli? Mh. Rais tumia vyombo vyako vizuri kufanya uwekezaji Kuna vyombo vinakurubuni Sana nikushauri Mh. Vunja Tiss na PCCB then baada ya mwaka utaona changes kubwa IGA S.A & others utaona walifanikiwa kwa kufanya changes kwa kuvunja hizi Taasisi na kuunda upya naongea kwa uzoefu
Utakuja sikia kawekwa kitengo kingineMoja ya ishara za uongozi mbovu ni kubadilisha wafanyakazi sana katika muda mfupi.
Hilo lina maana muajiri anafanya makosa kuajiri, au kuna matatizo mengine ya kimfumo ambayo hayabadilishwi na kuajiri watu.
Usilolijua ni Kama usiku wa kiza, fuatilia developed Countries utagundua kituTiss haivunjwi kinyamela hivo kama unavo taka wewe.
Bila kuunda upya TISS, PCCB, TanPol na TPA yenyewe,kamwe tusitegemee bandari kuinufaisha nchi.Tiss wapo, PCCB wapo kwanini watu wanafeli? Mh. Rais tumia vyombo vyako vizuri kufanya uwekezaji Kuna vyombo vinakurubuni Sana nikushauri Mh. Vunja Tiss na PCCB then baada ya mwaka utaona changes kubwa IGA S.A & others utaona walifanikiwa kwa kufanya changes kwa kuvunja hizi Taasisi na kuunda upya naongea kwa uzoefu
Anayefanya vetting naye anatakiwa afanyiwe vetting....Changamoto inaanza ktk mfumo wa kuajiri; mtu anaomba kazi TRA/TPA lengo lake la kwanza ni KUPIGA PESA na siyo kuitumikia nchi. Nashauri sekta nyeti kama ya bandari waajiriwa wote kabla ya kuajiriwa wafanyiwe vetting juu ya uadilifu wao.
KUKOSEKANA KWA UADILIFU ndiyo adui namba moja