Huyo mkurugenzi atakuwa katoza ushuru wa forodha mizigo ya wenye chama, wenye nchi na wala mema ya nchi.
Mkurugenzi atakayedumu badarini kwa sasa lazima awe ni yule anayepitisha bure mizigo ya wenye nchi, wenye chama na wala mema ya nchi
Unao uhakika kamwondoa kwa sababu hiyo?Rais alipomteua Erick Hamis April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!
Mwezi Disemba 2021 Rais Alivunja bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia tena Mkurugenzi awaondoe watendaji wanaofanya hivyo na akitaka list atampatia yeye!
Sasa uvumilivu umemshinda Rais, kamuondoa Mkurugenzi mwenyewe!
Ushauri mzuri.Tiss wapo, PCCB wapo kwanini watu wanafeli? Mh. Rais tumia vyombo vyako vizuri kufanya uwekezaji Kuna vyombo vinakurubuni Sana nikushauri Mh. Vunja Tiss na PCCB then baada ya mwaka utaona changes kubwa IGA S.A & others utaona walifanikiwa kwa kufanya changes kwa kuvunja hizi Taasisi na kuunda upya naongea kwa uzoefu
Na waliochezea mifumo wamebaki pale pale🤣🤣Rais alipomteua Erick Hamis April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!
Mwezi Disemba 2021 Rais Alivunja bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia tena Mkurugenzi awaondoe watendaji wanaofanya hivyo na akitaka list atampatia yeye!
Sasa uvumilivu umemshinda Rais, kamuondoa Mkurugenzi mwenyewe!
Ilisaidia nini?JPM alikuwa anakutumbua na anaelezea yaliyotokea yote hadi kutumbuliwa sasa hivi kimya kimya tu
Inawezekana. Unatozaje watu wanaomlinda bosi wako ukasalimika?Huyo mkurugenzi atakuwa katoza ushuru wa forodha mizigo ya wenye chama, wenye nchi na wala mema ya nchi.
Mkurugenzi atakayedumu badarini kwa sasa lazima awe ni yule anayepitisha bure mizigo ya wenye nchi, wenye chama na wala mema ya nchi
Bandari inahusika vipi na utozaji ushuru wa forodha?Huyo mkurugenzi atakuwa katoza ushuru wa forodha mizigo ya wenye chama, wenye nchi na wala mema ya nchi.
Mkurugenzi atakayedumu badarini kwa sasa lazima awe ni yule anayepitisha bure mizigo ya wenye nchi, wenye chama na wala mema ya nchi
Watu hawataacha kupga maana ukikaa hata miez 5 unapga ela ya maisha yako yote halafu adhabu ni kusimamishwa jla mpunga unasepa nao.Rais alipomteua Erick Hamis April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!
Mwezi Disemba 2021 Rais Alivunja bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia tena Mkurugenzi awaondoe watendaji wanaofanya hivyo na akitaka list atampatia yeye!
Sasa uvumilivu umemshinda Rais, kamuondoa Mkurugenzi mwenyewe!
Hangaya na ka[emoji3513] wote waongowaongo tu,yani wazee wa dili...tume ngapi zimeundwa zote lopolopo tuTatizo la pale bandarini ni asali mkuu. Sasa kukwepa asali inahitaji moyo wa ziada hawa wahindi na warabu koko wanajua sana kucheza na bandari. Nimeanzisha uzi kumshauri raisi aunde tume ya uendeshaji nadhani itapunguza Tatizo