MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
- Thread starter
- #121
Thanks!Kwa kukazia zaidi naomba tufahamu hili.
Thamani ya dili la mauziano ya Barrick kwenda Randgold ni $18.3 billion. Maana yake mzigo uliobakia chini ya ardhi ya migodi iliyokuwa ya Barrick ambayo itakuwa chini ya Twiga mineral (Randgold 84% + Serikali 16%) ni zaidi ya $18.3 billion.
Mgao tutakaopata sijajua utakuwa kiasi gani? au mzungu katuingiza chaka?
Link ya wikipedia
![]()