MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
- Thread starter
-
- #121
Thanks!Kwa kukazia zaidi naomba tufahamu hili.
Thamani ya dili la mauziano ya Barrick kwenda Randgold ni $18.3 billion. Maana yake mzigo uliobakia chini ya ardhi ya migodi iliyokuwa ya Barrick ambayo itakuwa chini ya Twiga mineral (Randgold 84% + Serikali 16%) ni zaidi ya $18.3 billion.
Mgao tutakaopata sijajua utakuwa kiasi gani? au mzungu katuingiza chaka?
Link ya wikipedia
Subiri wanasaccos waje uone wanavyotoa mapovu!Tuliambiwa na baadhi ya ‘’wataalam wa madini’’ nchini kuwa ule ni mchanga hauna thamani kama ambavyo serikali kupitia Rais Magufuli wanadai!
Ukweli umeanza kujitokeza kupitia kwa ''wenye mchanga''!
Ninazidi kuamini kuwa uongo hutumia lift kuwafikia walengwa lakini ukweli hutumia ngazi!
Inawezekana hata haya makadirio (estimate) ya Mkurugenzi wa Barrick niya chini kwa faida yake ya kibiashara!
Tuendelee kuusubiri ukweli!
HatufaiMungu Azidi kumpa afya na Maisha Marefu Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
Muuuuuh kumbe mbumbu bado ni wengi saaana nchi hii, jamani!!!!.Hivi ni kwanini inakuwa hivi???.Kuna jamaa mmoja aliwaita kina Mruma rubbish, wana muambia huu sio mchanga kama mchanga wetu wa Baharini, nyuso zenu mnazificha wapi mkisikia taarifa kama hizi? sasa hivi hao Wamekimbilia nje kupigania human rights,from politicians to human rights,hayo ni madhara ya kushindwa kukubali ukweli.
Mkuu;
Soma vizuri na uelewe maoni yangu!
Ni wapi nimesema huo ni mchanga kama mchanga wa kawaida?
Nimesem, ''Tuliambiwa na baadhi ya ‘’wataalam wa madini’’ nchini kuwa ule ni mchanga hauna thamani kama ambavyo serikali kupitia Rais Magufuli wanadai!
Tuliambiwa na baadhi ya ‘’wataalam wa madini’’ nchini kuwa ule ni mchanga hauna thamani kama ambavyo serikali kupitia Rais Magufuli wanadai!
Ukweli umeanza kujitokeza kupitia kwa ''wenye mchanga''!
Ninazidi kuamini kuwa uongo hutumia lift kuwafikia walengwa lakini ukweli hutumia ngazi!
Inawezekana hata haya makadirio (estimate) ya Mkurugenzi wa Barrick niya chini kwa faida yake ya kibiashara!
Tuendelee kuusubiri ukweli!
Matusi hayajawahi kuwa silaha za ushindi katika kupambana na nguvu za hoja!
Wanahamisha magoli ya kisiasa!Kama kawaida yenu, mmekuja na sarakasi nyingine! Lakini vipi kuhusu makinikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu asiyetaka pesa hapa duniani!true, lakini ngosha anazitaka pesa jana!
Kuna baadhi ya watu wanampa Zitto hadhi ambayo kiuhalisia hana!
Ok!Najaribu kuhesabu drama za tokea 2017 hadi Leo naona nimepoteza hesabu yake! Haya kila lakheri Twiga company!
JPM asilegeze kamba. Salama yetu kama nchi sio siasa za maji taka ambazo tulizoea kufanya. Na kulindana. Wezi wakubwa wa mali za Tanzania ndio walijinadi kama wazalendo wa kweli. Acha waumbuke. Soon or later hata hizo siasa walizozoea hawataweza kuzifanya tena
AbsolutelyAnd what about the things this deal brings? Never underestimate the power of political will.
Duh!Usawa wa zitto ni Migebuka. Haya makemia aachane nayo kabisa .Mzee wa Miga yeye kwenye mahame aliko anafutuka tu kula kulala
Mkuu..Huyu POMBO ni Rais wa Taiwan wa awamu inayokuja.Huyu Rais ni wa Nchi gani? Awamu ya ngapi?
Umebugi kwanyerere hapo...nyerere aligoma kuazia kudisturb maliasili ,alidai watazitumia nakuchimba watanzania wenyewe ,utakuta hatamikataba hiyo imesainiwa 1998..sijui nyerere alikua wapi ,madarakani? ...punguza kidogo mihemuko nyumbu mkubwa weHakuna cha sijui Nyerere, Mwinyi,Mkapa wala Kikwete...huyu ndiyo wa kwanza tangu Uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app